Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wana jf kwa anayejua vizuri kuhusu ugonjwa ulozuka i.e RED EYE, naomba anielekeze kiujumla sababu, njia za kuambukiza, jinsi ya kuepuka pamoja na tiba yake kitaalamu maana kila mtu anaongea kadri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From, Dr. Malebo H (NIMR) Please take this seriously and if possible keep a copy at HOME….!!! Make a checklist; check whether this medicine is in your home or whether it has been...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Hv madada zangu ile hali ya kuwa na tumbo la period likiambatana na kuuma kwa kiuno inatokana na nini?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Msaada tafadhali Nimekuwa na tatizo la kutokwa na mapele mashavuni.Hali hii ilianza pindi nilipoanza kuota ndevu.,Ila haijalishi ninyoe kwa mkasi,kwa wembe mpya,kwa mashine,kwa magic powder na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mm tangu naanza kuwa na mahusiano sijawahi kukutana na binti bikra. Lakini sasa wakuu naomba kuuliza, imagine unakutana na binti bikra na hamjapanga kupata mtoto, je kuna uwezekano wa kutumia...
0 Reactions
41 Replies
22K Views
Habari zenu wana jf. Ama kweli 'waswahili' tunazidi kukataliwa uwanja wa kustarehe. Tofauti na madai ambayo yamekuwa maarufu na hasa kwa majirani zetu Uganda na Kenya kuwa kutahiri wanaume...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani naomba ushauri,jongoo anapanda mtungi mara moja tu tena dakika 3 kurdia mpaka kesho yake.jamani kero naomba msaada
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimesoma habari hii ambayo si ngeni kwa wanaofuatilia michezo hasa soka ya england . Ni kuhuus Mchezabi Fabrice muamba mwenye asili ya DRC aliyedondnoka uwanjani wakati wa mechi. Niichojiuiza je...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hili limekuwa tatizo kwangu, mwanzon nilion kawaida lakin cku zilivyozid kwenda nikarud kwa dactari, naye akanipa jibu jepesi kuwa ni uoga wa dawa so its just psychological problem! Ila kwa kweli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ndugu wana jamvi naomba msaada ninajisikia hali ya kutapika kila baada ya kula, tatizo nini hasa?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
EXERCISE CAN LEAD TO FEMALE ORGASM Findings from a first-of-its-kind study by Indiana University researchers confirm anecdotal evidence that exercise — absent sex or fantasies — can lead to...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana-JF tafadhali tujadiliane kwa amani. ARV ni dawa za kupunguza makali ya UKIMWI na kuongeza umri wa kuishi kwa mwathirika.Hivyo ndivyo nijuavyo.Watu watumiao ARV hupendeza kimuonekano na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Pc ni msuli unaotawala uke na kibofu cha mkojo.kama mke ana msuli imara wa pc uke wake unaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe na kama ni dhaifu uke wake unakuwa ni mkubwa mno hivyo kushindwa...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Sex blamed for rise in mouth cancer cases Published: 16th March 2012 New figures out today revealed more than 6,200 adults were diagnosed with the disease last year. Two thirds of cases were...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumeza kidonge cha aspirini kila siku inaweza kuzuia na hata kutibu saratani. Taraifa hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya. Matokeo ya utafiti huo yalichapishwa na jarida la matibabu la The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutaan na hii habari mtandaoni. Baffling Illness Strikes Africa, Turns Children Into Violent "Zombies" World Health Organization is on high alert about new Ugandan outbreak, cause is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jf nsaidieni njia itayo nsaidia kunponyesha red eyes mana imewapata wengi hapa udsm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF nawaslimu. Nimeishi na mke wangu kwa miaka 33 sasa na tumebahatika kuwa na watoto na wajukuu kadhaa. Kama miaka 5 iliyopita mke wangu alianza kupata vipele ukeni hadi kufanya ule mchezo...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
A new study in the journal European Neuropsychopharmacology says European women are almost two-and-a-half times more likely to suffer from depression than men. In pure numbers, this means that...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Dear ladies, As we celebrate the POWER and BEAUTY of a woman in this very special month of March 2012, You are cordially invited to a special Beauty and Skin Care session exclusively for...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…