Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba Send to a friend Tuesday, 07 February 2012 20:53 0digg Florence Majani UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Meningitis Meningitis ni uvimbi wa bongo.[1] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, au bakteria au hata pia kutumia dawa fulani. Meningitis ni maradhi yanayoweza kuuwa kwa ajili ya kuwa uvimbe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kidney from Gray's Anatomy Figo ni kiungo cha mwili ambacho kazi chake ni cha kutatanisha. Mafigo yanafanya kazi muhimu mbalimbali kwa mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA MWILI;Huongeza umri wa kuishi FAIDA SEX KWA AFYA YA MWILI Huimarisha immune system kwenye mwili. Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
WanaJF naomba kujua madhara ya kunywa/kutumia maziwa ni yapi haswaaa. Asanteni - mudushi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibia kila siku ninapokuwa nimelala usiku wa manane kama saa tisa hiv nasikia kitu/ mtu anakula mifupa ndan ya chumba nilicholala kwa woga naogopa kuamka ili nione ni nini? Tafadhali nisaidieni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati hayuko kwenye period ni dalili gani....mgonjwa...hawezi kuvumilia mipigo au kitu gani.
0 Reactions
46 Replies
14K Views
Naombeni msaada wenu.Operation ya Acharasia inakuwa vipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MIMBA Mimba ilitungwa baada ya baba kutoa hongo kwa kimada Ili kuthibitisha kama ni mimba kweli kimada akatoa rushwa kwa daktari ili apimwe harakaharaka kwa kuwa kulikuwa na msongamano wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Wakuu naomba ushauri, nina mtoto wa mwaka mmoja na miezi Miwili na mipango yetu ni kuwa na watoto wawili tuu Mungu akipenda, na tulipendelea wasipishane sana umri, ili tumalize mambo ya uzazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nini maana ya mdudu huyo mifeprex Thank u all
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Jamani ndungu yangu anasumbuliwa na fangasi miaka mitano sasa bila kupona, zimekuwachronic anajisikia maumivu makali , anawashwa muda wote, korodani zimejikunja na zimekuwa ngumu sana, dama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ugonjwa sugu wa figo hutokea pale figo zinazopoteza uwezo wa kutenda kazi unaotokea taratibu na kudumu baada ya kitambo fulani. Hali hii hutokea taratibu, na huchukua muda wa takribani miezi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari jf doctors naombeni ushauri tafadhali. Nasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo upande wa kulia mpaka karibia na kitovu, vikiambatana na kichefuchefu na kukosa hamu ya kula. Nikaenda...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wasalaamu kaka zangu na dada zangu wana JF. Mimi ni kijana mwanaume (36yrs) na nusu ya umri wangu nimeishi kijijini. Nabainisha hilo ili kuondoa shaka au dhana kuwa labda sikuzoea maisha ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
KUTOKANA NA KIBURI CHA SERIKALI KUSHINDWA KUTATUA MGOGORO WA MADAKTARI ,INASEMEKANA KUWA ZAIDI YA MADAKTARI 100 WANATARAJIWA KUONDOKA NCHINI HIVI HUU KUFANYA KAZI KATIKA MATAIFA MBALI MBALI NA HII...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Je ni jambo la kawaida kwa msichana kutoka uchafu sehemu za siri kwa siku kadhaa after sexual intercouse?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
naombeni msaada nina jipu kubwa kwenye paja langu la kulia'kwa kweli juzi usiku sikulala homa kali na joto kali la mwili'nimeenda kumwona doktari akanipa antbiotic na asprin na sasa hivi...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…