jamani nina stress naona sasa zinakonipeleka siko ..hadi kichwa kinaniuma,nashidwa hata kulala vya kutosha nakuwa naweweseka nikilaa ..shida kubwa ninakuwa na mambo mengi ya kufanya kwa mda...
Mama yangu amepata haya maradhi na sasa amekuwa kipofu kabisa. tumejulishwa kuwa presha ya ndani ya macho (glaucoma) haina dawa na mama atakuwa kipofu kwa siku zake zote zilizosalia. Lakini pia...
Nina matatizo ya meno yananiuma sana, hayajatoboka ni mazima kabisa yanauma tu na wakati mwingine nasikia yanatingishika nimeshamuona daktari akaniangalia angalia hapo, akanishauri dawa za kupigia...
Kwenu Mnaopenda kuweka Laptop zenu mapajani wakati mwafanya kazi zenu. Wanasayansi huko Argentina wamegundua kuwa mionzi inayotokana na wireless internet au wi-fi ktk laptop hasa zinapowekwa...
GREEN TEA
Green tea has increasingly become a very popular drink worldwide because of its immensely powerful health benefits.
It is extraordinarily amazing what green tea can do for your...
Charles Llewellyn from Angola a former Director, Office of Health and PMI Manager at USAID/Tanzania 2005 - 2010, and who is at current a health consultant to USAID/Angola, has written his...
Habar za jioni wapendwa! Naomba ushaur wenu ninasinzia mchana darasani sana alafu usiku saa 4 nikipanda kitandan sipati usingizi hadi saa sita.je nifanye nini ili niwahi kupata usingizi usiku na...
Tafadhali naomba mwenye ujuzi au uelewa wa hili anisaidie.........Mwanangu amekuwa na tatizo la kuanguka na kupoteza fahamu na limekuwa na tarehe maalum ni kati ya tarehe 15 na 27 au 26 na 28 ya...
Laptop Wi-Fi said to nuke sperms
NEW YORK (Reuters Health) - The digital age has left men's nether parts in a squeeze, if you believe the latest science on semen, laptops and wireless connections...
This information was in The New York Times recently as part of their
"Spotlight on the Home" series that highlighted creative and fanciful ways
to solve common problems.
1. Cucumbers contain most...
Ninahitajika kupunguza kilo 6.1, hivi nitafanyaje kutatua hili tatizo. Ni tatizo kubwa sana kwangu.
Naomba msaada wenu kwa mwenye kuweza kunisaidia diet, na hata njia rahisi ya kuondoa hili tatizo.
Habarny wapendw wa jf minilikua na swal moja na ningehtaj msaada wenu.,kama nikitaka kunenepa nifanyeje maana mi ni mwembamba had daah.,na kuhusu kula na kula na dawa ya minyoo nime2mia sasa cjui...
mwenye msaada wa kujua kinachosababisha nyongo kuwa nyingi na dawa ya kupunguza nyongo mwilini
huwa inatokea kuitapika asubuhi na hutoka nyingi sana
natanguliza shukrani
Nina mtoto mdogo ambaye ndio ameanza kuota meno, lakini kilichonishangaza badala ya kuota meno mawili ya chini, limeota jino moja ambalo limegawanyika kwa juu (ni kama meno mawili yenye mzizi...
Nauliza mimi nimefanyiwa TURP na ninapokutana na mwanamke sitoi shahawa kabisa nikiuliya naambiwa kuwa hiyo retrograde ejaculation,sasa nauliza je ukitolewa prostate unaweza kuzaa?
Wajameni ninae mpenzi wangu wa kike na nipo nae kwa takribani miaka miwili sasa na nategemea kufunga nae ndoa mwakani ila siku zote amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa.
Na...
What doctors do when they dont know the answer
1. Revert to novice thinking. Which, in fact, is completely appropriate. Were taught in medical school that approximately 90% of all diagnoses...