Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Men's Health By: Angie Marcum Break Studios Contributing Writer Contrary to popular belief, it is important to know how dirty underwear affects men's health. Failing to wear clean...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UTAFITI unaoendelea kufanyika wa dawa ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijiji cha Samunge umebainika kuwa dawa inatibu maradhi sugu na Shirika la Afya Duniani [who] Kuikubali dawa hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo Tumaini Hosp. Ndugu yangu amelazwa, Alianza kutumia ARV AUGUST 2010, akiwa na CD4- 219. April 6. 2010 akapima CD4 ikapanda mpaka 1000. Akaenda Kwa BABU LOLIONDO tar 11 april 2011. Baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna wachungaji wa mshahara wanapotosha watu kuhusu mitishamba!! Mtaani kwetu Leo asubuhi nimemsikia mchungaji mmoja wa kanisa flani akikashifu dawa ya Loliondo, alikuwa akitoa muongozo wa...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari zenu waungwana! Naomba mnaojua sababu zinazomfanya mtu aonekane mzee kuliko umri wake na jinsi ya kuzitatua, Kwa mfano najua moja ni kunywa pombe kulikokithiri na solution ni kuacha au...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Naomba msaada wa vitu gani ni muhimu kwa chumba cha kufanya uchunguzi wa macho ya uoni hafifu kiastahili kiwe(necessities for Low Vision Test room to be). Naombeni ushauri. namaanisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimealikwa mimi nikiwa mtumishi wa afya,kuongelea ugonjwa wa malaria... naomba kero zenu huko hosptalini......kwani najua hakuna madawa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ninikusababisha mume kukojowa haraka? Nanini afanye ili asikojowe haraka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wana JF, mi ni mama nna ujauzito wa mwezi mmoja na nusu, tatizo sipati usingiz kabisa nakesha hadi asubuhi, pia sipendi kunywa maji natapika sana. Naombeni ushauri wapendwa.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
You are what you eat, so eat well. A stupendous insight of civilizations past has now been confirmed by today's investigative, nutritional sciences. They have shown that what was once called...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Naomba wataalamu mnielezee vizuri hii kitu, inasababishwa na nini mpaka watu wanakuwa na low&high level. Madhara yake ni yapi kiafya kutokana na high level. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ninikusababisha mume kukojowa haraka? Nanini afanye ili asikojowe haraka
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni mnipe ushauri wenu kuhusu hili taizo ambalo la kiafya ambalo limekuwa kikisumbua mara kwa mara, tatizo lenyewe linausu kupata choo kigumu mara kwa mara na matokeo yake kufanya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndg wana JF, jana nilikuwa nyumbani nimepumzka mchana, mke wa mshkaj wangu akanipgia simu tukutane baa flani kuna inshu anataka nimshauri. Baada ya kukutana, anadai mshkaj huwa hamtoshelez, huwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
naombeni msaada bha ndugu nasumbuliwa na tatizo kuwashwa sehemu za maumbile ya kijinsia. nimetumia dawa aina mbali mbali na hata kufika kutokuvaa nguo za ndani lakini sipati suruhu, rafiki wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchunguzi wa NIMRI,MUHAS Naye Leon Bahati anaripoti kuwa,Uchunguzi wa awali uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndg zangu naomba msaada,juzi nimepima malaria nikakutwa nayo 2,nikaanza matibabu ya cndano 5 za artem,pamoja na declopar kwa ajili ya maumivu maana mwili ulikuwa unamaumivu makali sana,jana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Uchunguzi wa NIMRI,MUHAS Uchunguzi wa awali uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Muhimbili (MUHAS)...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…