Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

All
Geseënde Paasfees,El Maseeh Qam,Vrolijk Pasen,Joyeuses Pâques,Frohe Ostern,Buona Pasqua,Prospera Pascha sit,Páscoa Feliz,Bona Pasqua,IPhasika elijabulayo,Glad Påsk,herY YA PASAKA!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA PREPARED BY HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Nina imani nipo kwenye jukwaa sahihi kama sivyo basi mtanilekebisha hii ningeiweka wapi. Kuna kitu huwa kinanisumbua akili yangu siku zote juu ta watoto wachanga wanapokuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habar zenu wakuu,samahan napenda kuuliza kama kwa hapa nchini kwetu katika vyuo vya medicine(muhimbili,kairuki,imtu,kcmc,bugando etc.) wanatoa bachelor of medicine in neurosurgery. Asante!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanawake wengi hujikuta katika hali ambayo wamedhulumiwa; kihisia, numbani, na kijinsia. Usione haya ukijikuta katika hali hii kwa maana kuna watu wengi sana wanaopitia hali moja sawa na yako...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sigara wavutazo ndizo zinazoua watoto wao * Watafiti: Mimba ni mbalimbali na sigara NA PETER ORWA WATU wengi wanapenda kuvuta sigara. Lakini, si wote wanaojua kwamba athari hizo haziishii kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NA EPSON LUHWAGO “HATUWEZI kupambana na ukimwi kama hatutilia mkazo katika mapmbano dhidi ya kifua kikuu.” Hiyo ni kauli ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, aliyoitoa katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF naomba kuuliza hivi hakuna daktari wa magonjwa ya kiume, maana nasikia madaktari wa magonjwa ya kina mama na watoto tu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nime-ipost thread hii kwenye Jukwaa la Siasa siyo kwa sababu sijui jukwaa lake muafaka bali ni kwa sababu naamini hili ndilo jukwaa ambalo watu wengi na hususan viongozi wetu wenye...
2 Reactions
23 Replies
15K Views
By PIUS RUGONZIBWA, 21st April 2011 @ 12:53, TANZANIA will next week launch a new anti-malaria drive in which drugs are to be widely availed in private and public outlets at subsidised prices, as...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF najisikia raha kuwepo kwa JF imenisaidia mambo mengi sana na uhakika hata kwenye hili nitapata suluhu yake. kunauwezekano wa kujua kama mtoto wa miezi mitatu ni mrefu au mfupi? karibuni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
ndugu wapendwa...kuna jambo limenichanganya,kunaa kaugonjwaa flani kamezukaa sana cha watoto kuanguka anguka ovyo mashuleni,kama jana wanafunzi huko songea wa shule ya msingi walishikwa na huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku mbili zilizopita niliamka nikajisikia maumivu wakati wa kukaa nilipojichunguza nikagundua kuwa nina uvimbe mdogo kwenye anus upande numevimba kama jipu ila nilipobinya halikupasuka maumivu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA PREPARED BY HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna jamaa yangu anatatizo la kutoa harufu kali ya makwapa muda wote haijalishi katoka kuoga au anaelekea kuoga!asubuhi wala jioni ! hata akitumia body spray ni kazi bure na haisaidii chochote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu wote wanaJF, Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina tatizo la umbile langu yani ni mwembamba ninavaa size 8. Kwa kweli huwa nikijiangalia hata sipendezewi na umbo langu, nimekuwa nikila ovyo...
0 Reactions
35 Replies
19K Views
Wana jamii forum leo nimekutana na mgonjwa mwenye kisukari ambaye alipata dawa ya mchungaji wa loliondo na hali yake ilikuwa mbaya sukari ilikuwa juu sana na ilibidi nimshauri aanze insuli ambayo...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimejaribu kuangalia humu ndani na nimeona kwamba kuna wanajamii wengi huelezea matatizo yao mbali mbali ya kiafya. Mara nyingi hjitokeza wachangiaji wakatoa majibu ya kukurupuka wakijua hawana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…