Habari comrades,
Nina ndugu yangu anatatizo tajwa kwa muda. Wa miaka 7 sasa ametumia antibiotics na antifungal lakini hakuna nafuu kabisaaaa.
Naomba kufahamishwa kuhusu risk factors, causes...
Wakuu! Habari za muda huu?
Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka...
Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi.
Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda...
Wasalam!
Wazee juzi ijumaa nilikutana na toto moja hivi ya moto balaa kula mtu alikuwa anaiangalia basi mjuna nikajitosa kwa mazungumzo mafupi ya kufahamiana kisha mrembo akaachia namba kuilaini...
Ripoti ya shirika la afya ulimwenguni, WHO imesema idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kote ulimwenguni iliongezeka mara mbili mwaka uliopita wa 2022.
Syria ni moja ya nchi zilizoathirika pakubwa...
Kwa hizi dalili nahisi nina minyoo
Kukosa hamu ya kula yaani CHAKULA hata kiwe kitamu vip huwa hakipandi aisee
Mwili kuhisi uchovu, muda mwingi mwili unajihisi kuchoka hata kama sijafanya kazi...
Habari zenu wanajf wenzangu, ashukuriwe Mungu kwa kutujalia uzima siku ya leo, tukumbuke kuwaombea wale waliopo mahospitali na majumbani kwa maradhi mbalimbali wakaweze kupona. Lakini tuwaombee...
Salamu Wana Jamvi. Nimepita Mahali nikasoma kuhusu hii Habal Sawda ama Black Seed, kwamba Ina Uwezo Mkubwa kutibu Magonjwa yote, Kasoro Kifo' TU!
Ninaomba kuelewesha Matumizi ya Habal...
Habari zenu wanajamvi
Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka...
Kuna watu sijui midomo yao ina nini, hata asiposukutua mwezi mzima lakini mdomo wake haunuki hata chembe.
Akiamka asubuhi kinywa safi hadi raha, hakuna maharufu ya panya kuoza.
Yaani hata...
Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji.
Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake...
In today's culture, porn is not going away. You can avoid the damage this sin causes.
Source: iStockphoto
Let's face it. After 20 years of exposure to thousands of hours of pornography, Jack's...
Epuka nyama uzembe, uzito na kitambi kwa kutumia neolifeshake iliyo katika ladha tofauti yaan vanilla, chocolate na strawberry,,,, kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kupata bidhaa 0759137319 au...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza ni exactly kilichonitokea na kinachoendelea kunitokea.
Mimi siyo mtaalam wa mambo ya wanawake, so katika hili sifahamu, "hivi mwanamke akiwa period anakuwa na...
Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha...
Habar wakuu msaada wenu nna maumivu makali sana sehemu ya chini zinapoanzia mbavu kuja nyuma katika mgongo nahis usawa wa figo...maumivu makali yakuja nakupotea nikinywa maji mengiii maumivu...
Maelezo ya Awali...
Njia za uzazi wa mpango hutumika na wanaume na wanawake kuzuia ujauzito kwa madhumuni ya kupanga uzazi ili kuwa na familia bora. Ni vigumu kusema kuwa kuna njia iliyo bora...
1. Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani, imeeleza kuwa Watu 4 kati ya 5 wenye tatizo hilo hawapati matibabu sahihi huku idadi ya Waathirika ikiwa ni Mtu Mmoja katika kila Watu 3 duniani kote...