Na Imani mko poa kuna rafiki yangu hapa katumia Antibiotic inaitwa Cefadroxil anasema kamaliza Dose mchana je inakaa kwenye mwili masaa mangapi ili aendee kunywa Pombe.
[emoji120]
Ndugu zangu Habari za asubuhi, natumai mu wazima wa afya njema, mulio wagonjwa MUNGU akawape wepesi kwa kuwaponya.
Moja kwa Moja niende kwenye maada, nina mtoto wangu wa miezi 8 amekuwa na tatizo...
Na omba msaada kwa wale wanaojua dawa au aina ya tatizo au sababu ya tatizo linalomkabili mama angu
Mama angu ana umri wa miaka 47, ana tatizo la kuumwa upande mmoja wa mwili kutoka kwenye paja...
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA[emoji116][emoji116]
1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol
PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa...
World Patient Safety Day calls for global solidarity and concerted action by all countries and international partners to improve patient safety.
The Day brings together patients, families...
Wasalam wadau.
Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana...
Habari Wana jf,
Naomba msaada wenu mdogo wangu anasumbuliwa ovarian cyst, Sasa mwezi wa saba alipimwa utrasound ukawa na cm 3.5 hakupewa dawa yoyoye, walisema utaisha wenyewe.
Sasa juzi maumivu...
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa.
Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani...
Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja...
Kama nilivyoeleza hapo juu, mtoto wangu wa kike umri ni mwaka mmoja na miezi 4 amekuwa akigoma kula na kama akila basi ni kidogo sana napo hadi umlazimishe.
Tatizo linaweza kuwa nini? Na...
Hapo vipi,
Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.
Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.
Ila masaa mengine...
Habari za jioni wakuu,
Napatwa na changamoto ya malalamiko kila ninapokutana na mwanamke kimwili analalamika tumbo linamuuma chini ya kitofu.
Na afadhali hata angelikuwa mmoja lakini kila...
Habarini Wana jukwaa.
Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.