Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu!! Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya. Wakuu siku ya jumatatu nilikwenda moja ya hospital apa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa namumivu chini ya mbavu, baada ya...
0 Reactions
9 Replies
801 Views
Wakuu, With due respect ta all of you. Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi...
31 Reactions
670 Replies
121K Views
Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali. Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna...
2 Reactions
8 Replies
745 Views
Habari wana Jf doctor? Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda wa kama wiki sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem za siri (njia ya haja kubwa), nimejaribu ku2mia sabun tofaut lakn wapi...
0 Reactions
129 Replies
81K Views
EID MUBARAQ Ndugu zangu ninaumwa na hospital nishaenda mara mbili na dawa natumia ila nafuu hakuna.So nimeona nije na kwenu labda kuna mtaalam huku akanipa neno/ushauri wakuniponya Nilifanya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?
4 Reactions
29 Replies
1K Views
"Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao" "Wanawake wengine ili...
20 Reactions
120 Replies
7K Views
Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi! Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana jf, nasumbuliwa na madonda ya tumbo kwa muda mrefu Nahitaji kujua anayejua herbal clinic ya uhakika (mana wengi dawa sio wa aminifu) Naomba kuelekezwa herbal clinic inayotoa dawa za...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu Leo nmekubwa na tatizo moja toka asubuhi moyo unaniuma Sana Sasa sjui tiba yake ni ipi wakuu
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu nina ndugu yangu ana ujauzito ila anatokwa damu ukeni je naweza kupata msaada wenu NB:yuko vibaya kiuchumi
1 Reactions
3 Replies
652 Views
HIZI NDIZO NJIA SALAMA ZA KUILINDA AFYA YAKO Mazozi ni jambo muhimu sana ili kuulinda mwili kutokana na magonjwa. Mtu mwenye kuthamini mwili afya yake hawezi kupuuza kufanya mazoezi kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Samahani naomba kauliza je kama mwanaume amewahi kuumwa warts kwa miezi Sita iliyopita na ameshatibu tatizo kwasasa. Je, endapo nilikutana naye kimwili naweza kupata mambukizi?
0 Reactions
4 Replies
450 Views
Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya. Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet? Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu...
2 Reactions
8 Replies
900 Views
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Msaada Madaktari , nimeona kadi imeandikwa hivi Aina ya Kifua Kikuu AFB + , AFB - , EPTB halafu kwenye AFB - ndio pawekwa tiki hii inamaanisha hapo ndio aina ya Kifua kikuu anachoumwa. Naomba...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Tupeane elimu kidogo juu ya vichomi kwa wajawazito.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho. Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…