KAMA ULIKUWA HUJUI:
Hizi ndizo faida anazopata mwanamke pale mwanaume anapofunga goli wakati wa tendo la ndoa (Kumwaga mbegu)
(1) Humtengenezea mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika...
Hivi karibun nimepata tatzo la moyo kuwa unapga vbaya wataalam mliopo humu naomba msaada kujua nifanyeje coz inanipa wasi wasi sana hali hii
Natanguliza shukrani
Oi wataalam wa mambo. Nimeenda famasi kununua dawa ya tonsezi cha ajabu nimepewa AZUMA - 250
Kinacho nipa hofu ni kwamba kupitia uzi wa kula kimasihala niliona hizi wadau walitumia kujitibu...
Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya...
Madaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede.
Lakini tangu nitumie hizo dawa japo...
Ugumba kwa wanaume ni tatizo, na huchangia asilimia 50% ya wanandoa wasio na uwezo wa kuzaa.
Utoaji wa huduma za afya za kibingwa kushughulikia matatizo ya uzazi ya mwanaume bado hayatoshi...
Khabari zenu,
Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila...
Naombeni msaada wa matibabu kutoka kwa madaktari waliomo humu. Tatizo langu ni kwamba kuna siku niliamka asubuhi nikashindwa kunyanyuka kitandani kwa sababu ya maumivu makali kuanzia kwenye...
Takwimu za watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka asilimia 58 ya mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 64 mwaka 2022.
Pamoja na hilo takwimu za watoto wanaonyonyeshwa ndani ya...
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani inalenga kuangazia umuhimu wa kunyonyesha kwa afya na ustawi wa Watoto na manufaa kwa afya ya uzazi. Pia kukuza, kulinda, na kusaidia haki za Wanawake kunyonyesha...
Habari za saizi wana jf?
Samahani, nimefikwa na tatizo mwenzenu nahitaji msaada. Mama yangu ni mgonjwa yupo kitandani hasimami wala hatembei.
Nimekuja kwenu wadau mnisaidie kwa yeyote mwenye...
HERBS FOR NATURAL FLAT TUMMY
Belly fat is stubborn and clings on and around the stomach, giving an odd look to your figure.
Dieting is not the only solution to losing belly fat, as this might...
UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI?
Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu...
Habari wadau, naombeni msaada wenu na ushauri,
Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara na limeanza muda mrefu kidogo huu ni mwaka wa nne unaenda tafadhali naombeni msaada wenu maana hata...
Habari zenu jamani,
Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi...
Hili suala la kuwa umemwandaa mwanamke kwa muda fulani Kisha mkaanza game limekolea mara utelezi unaisha mnalichukuliaje? Hii ni shida mpya kwa wanawake wa sasa.
Inafikia kipindi mnaboa kuweka...