Habari wana JF Afya.
Nina watoto 3 wa kiume (5, 3, 1.5 years). Ilianza kwa mkubwa kokwa moja ya korodani upande wa kushoto IKAPANDA juu mpaka sasa imepotea haionekani. Alipopelekwa hospitali...
Habari ya muda huu ndugu zangu, ni matumaini yangu kwamba wote mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu vizuri.
Ndugu yenu nina shida moja.
Nilipata ka uvimbe chini ya mstari wa korodani...
Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga...
Habari ya muda huu viongozi..
Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa...
Habari wana jamvi mke wangu ni mjamzito ana mimba changa ila tumbo linamuuma sana nikienda hospital ya private akapata majibu haya kua asitumie dawa yoyote na arudi baada ya wiki mbili majibu...
Nina kidonda mdomoni pale mwisho wa meno ndani upande wa pili mpaka kutafuna nyama natafunia kulia.
Naomba dawa niliambiwa nisukutue na chumvi ila wapi, kinauma balaa.
Natanguliza shukrani.
Habari za hapa,
Kwa sisi ambao hatuja zoea sana bahari tukisafiri na boti tunakuwa kwenye hali ngumu sana mara kutapika , kichefuchefu n.k .
Wajuvi wanipe maarifa naweza fanya nini au kutumia nini...
Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili...
Wakuu nimeanza kupunguza mwili kwa urahisi sana...na mwili umeitika one week tu kwa kweli.
Nimepanga nifike kilo 100 by tarehe 11 november na ratiba yangu ni very simple.
Wiki 12 za mwanzo mpaka...
Tatizo la manii kuwa kidogo na mepesi mno wakati wa kukojoa kwa mwanamme.
Je inatokana na nini?
Je inaweza sababisha mwanaume ashindwe tungisha mimba ?
Pia naomba msaada wa kulimaliza hilo tatizo...
"Kansa inayoongoza kwa Tanzania ni Kansa ya Shingo ya Kizazi. Kuna baadhi ya Kansa zinasababishwa na kirusi anayeitwa HPV. Kirusi huyu anaambukizwa kwa njia ya ngono kama vile mtu anavyopata HIV...
Dentists from across the country tell us what they're really thinking as they peer at our teeth.
Do you floss about as often as you flip your mattress? Do you spend more time putting toothpaste...
Habari wakuu l,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Miaka mitatu iliyopita siku moja nikiwa naangalia TV sebuleni nilijikuta Nina blurred vision, kwenda kuchek zahanati nikakutwa Nina sukari...
Jamani habari,
Nina tatizo la kuwashwa huu mwezi wa 7 nililala na demu akaniambukiza gonorrhea nikatibiwa na dawa likapona, tatizo la kuwashwa linaendelea.
Nimetumia dawa za allergy cream lakini...
Habari wakuu natumai mu wazima
Dhumuni la mada hii ni kuwauliz kama kuna mtu aliyewai kukumbana na changamoto ninayopitia kwa sasa...
Iko hv.
Huu ni mwez wa 2 na siku dhaa kuelekea miez mitatu...
Habari wakuu,
Nini cha kufanya ukiwa umechoka na kila kitu?
Katika maisha kila mtu huexperience maisha kwa mtindo wake wapo ambao huona maisha ni mazuri wapo ambao huona maisha ni kawaida na...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana umri 30+ na sijaoa.
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na maomivu ya kiuno na nyonga pamoja na hii mishipa ya katikati ya mapaja na kibofu inakua kama...