Pia naomba kuuliza.
Parachichi
Apple
Ndizi mbivu
Wali
Ugali
Nyama
Maziwa mtindi
Maziwa fresh(boxed like asas and first choice)
Wine.
Mayai ya kukaanga au kuchemsha
Vitu gani Kati ya hivi sipaswi...
Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja...
Habari wakuu?
Naomba kuleta kwenu swala hili la ugonjwa wa GERD.
Je, kuna watu wameugua huu ugonjwa? Wamepona? Walitumia muda gani kupona? Ulitumia njia zipi/ matibabu gani Hadi kupona?
Vipi...
Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) na Msimu wa Sikukuu
Vidokezo vya Ulaji Bora.
Utangulizi
Tunaelewa kuwa msimu wa sikukuu unaweza kuwa changamoto kwa wale wanaoshughulikia magonjwa yasiyoambukiza...
Habari Ndugu wa Jf,
Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora
Utangulizi
Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na...
kuna ushauri nimeombwa nikamjibu navyojua pia nataka kuskia kutoka kwenu pia.ipo hivi,,,kuna dada mmoja siku ya tarehe moja decemba alikutana na mpenzi wake kimwili bila kinga ,masaa 73 baadae...
Habar gan wakuu
Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
Hi wana jf.
Wanawake wa jamii forum please nisaidie tiba maambukizi kwenye via vya uzazi (P.I.D).
Huu ugonjwa unamtesa sana mwanamke wangu kwa zaidi ya miezi sita sasa, kwa kifupi ugonjwa...
Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu
Hali hii...
Natafuta hospitali ambyo inatoa huduma bora ktk vipomo na matibabu ya magonjwa ya kifua, mfumo wa upumuaji hasa Pneumonia, TB na matatizo ya mwili nzima lakini ni hapa Dar.
Watu wengi hunywa maziwa fresh kwa imani kuwa wanaimalisha mifupa na kupata madini kadha wa kadha, sio Tanzania tu njoo hapa America mtindo ni ule ule kila kifungua kinywa chaenda na maziwa.
Kitu...
Jamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwa sababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni sijapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa...
Wakubwa ninasumbuliwa na huu ugonjwa.
Nimeshakwenda hospitali wakanipa Omeprazole(PPI).
Mara ya kwanza nilidhani Omeprazole itatibu kabisa uishe ila baada ya kuwahoji madaktari na kufanya...
Habari za Muda huu wadau,
Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki.
Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za...
Kuna aina fulani ya mti nimkubwa tu na ni wa asili hupatikana msituni maeneo mbalimbali.
Mti huu unatumika kama dawa ya kutibu magonjwa mbalimbali.
Sifa za mti huu ni kuwa ndege akipaa usawa wa...
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone