Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya 1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula...
7 Reactions
81 Replies
2K Views
Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni...
4 Reactions
0 Replies
378 Views
Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen. Pamoja Nakuwa...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi. Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo...
4 Reactions
15 Replies
997 Views
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk. Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
18 Reactions
121 Replies
5K Views
Habarini wadau. Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je...
1 Reactions
19 Replies
385 Views
Habari zenu, Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi...
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
How Vital Are Your Organs? Could you live without a small and large intestine, stomach, liver, spleen, and pancreas? By Howard LeWine, M.D., Harvard Health Publications Q: I just read about a...
1 Reactions
1 Replies
29K Views
Salam! Wataalam na Madokta wa jukwaa hili, kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni...
2 Reactions
120 Replies
104K Views
Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini...
4 Reactions
5 Replies
691 Views
Wana jf naomba mnipe faida na hasara za mirungi aka gomba MADHARA YA KIAFYA; 1. Mtumiaji wa mirungi yupo katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo. - Kupungukiwa msukumo wa kufanya tendo la ndoa...
0 Reactions
19 Replies
38K Views
Government tunaomba hii bidhaa yenu iwe improved, ni hayo TU!
3 Reactions
3 Replies
326 Views
Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100...
2 Reactions
10 Replies
599 Views
Hii dawa mtu aliomba sana nimtafutie atanipa pesa nzuri sijui ya nini na inatibu nini.
0 Reactions
6 Replies
298 Views
Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini. Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu. Nilidhani labda tatizo litaisha ila leo siku ya tatu naona...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Mada pendwa kwa wanaume! Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties Nini cha kuongezea hapa...
0 Reactions
2 Replies
266 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…