Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba. Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Tunaambiwa HIV ni virusi vidogo sana, hatuwezi kuviona kwa macho, je vikakusanywa vyote dunia nzima kwa kila vilipo, then vikafinyangwa pamoja, vikawa kama jabali? Tutaviona? Vinaweza vikawa na...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Habari wana-JF samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani je ni kawaida au ni shida?
0 Reactions
30 Replies
30K Views
Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye...
2 Reactions
4 Replies
318 Views
Wasalaaam. Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa...
3 Reactions
7 Replies
545 Views
Naam toa mti weka mti bila shaka huu mti unaitwa ndulelee au mtula tula ni mti mahalufu sana mti mdogo unamahajabu mwakubwa sana katk tiba za kiganga uwo tunaita mfichua au mwangaza ni atar sana...
9 Reactions
41 Replies
79K Views
Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Kuna ndugu mmoja (Askofu mstaafu wa K.K.K.T) au maarufu kama Doctor anakaa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha anatibu magonjwa yote sugu kama Ukimwi, kisukari, magojwa ya moyo, mifupa, ini, figo...
0 Reactions
1K Replies
168K Views
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo. Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu...
4 Reactions
73 Replies
2K Views
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mimi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/ tifutifu. Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu, nitakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety. Mimi ni...
20 Reactions
205 Replies
28K Views
Je wajua? pamoja na kuwepo kwa madaktari wenye weredi katika dunia ya sasa ya kiteknolojia vifaa tiba vinaenda kuchukua nafasi kubwa katika upatikanaji wa tiba kwa karibia magonjwa yote! je...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au...
2 Reactions
1 Replies
369 Views
Natumaini kwamba itakuwa ni siku njema kwenu zangu wakubwa kwa wadogo. Naomba kuwasilisha hoja yangu kwa maelezo yafuatayo: Nina dada yangu wa miaka 25 anasema kuwa huwa anapata maumivu ya tumbo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
UGONJWA WA HOMA YA INI Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa. Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu habari za muda huu? Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu. Nitumie mbinu gani...
3 Reactions
27 Replies
956 Views
Habari zenu wakuu, Ninachangamoto inanikabili kuhusu afya yangu, physically nipo sawa sina shida yoyote ila kuna hali ya wasiwasi wa hali ya juu hua inanijia na kuniambia ninaenda kupata ugonjwa...
0 Reactions
8 Replies
364 Views
Habari zenu watu wa Mungu na wadau wa jukwaa la afya, Mengi nmejfunza kupitia jukwaa hili! Naamini ntaendelea kujifunza zaidi, niende kwenyewe moja kwa moja. Wajuzi tujuzane, binafsi tangu...
8 Reactions
111 Replies
7K Views
👉 AFYA NI TUNU👈 ❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇 🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗ 🌹🌹Faida zake🌹🌹 🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅...
2 Reactions
4 Replies
577 Views
Utangulizi: Katika nakala hii, tutachunguza umuhimu wa afya ya figo na jinsi tabia fulani zinaweza kuleta tishio kwa figo zetu. Kwa kuelewa hatari zinazowezekana na kufuata tabia nzuri...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Kifua kikuu (kwa Kiingereza tuberculosis, kifupi TB) ni ugonjwa wa kuambukizwa ulio hatari. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…