Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti. Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana-JF. Obsessive compulsive disorder ni ugonjwa unaonisumbua kwa miaka mingi. Kama ilivyo kwa wengi ni ngumu kujijua kuwa wana matatizo ya akili. Niliishi miaka mingi nikijiona wa tofauti...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa...
1 Reactions
13 Replies
417 Views
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa...
4 Reactions
16 Replies
478 Views
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa. Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa...
0 Reactions
6 Replies
446 Views
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa...
5 Reactions
27 Replies
925 Views
Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari. Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana tukiwa tunazika kunduchi nkaonyeshwa makaburi ya waliokufa na COVID Ni huzuni sana ukiacha matajiri yaani weengi ni wanaume bila kujali dini zao Tutuubu wanaume
4 Reactions
10 Replies
455 Views
Katika vipimo vya sperm ukikutwa na Hali hii je unaweza nusurikaje . Assume idadi ya some ni chini ya milioni 40 lakini si chini ya 20m pH kati ya 7?5 na kuendelea pia Mbegu nyepesi na mwendo...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia...
28 Reactions
135 Replies
17K Views
Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu...
10 Reactions
124 Replies
24K Views
Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Miezi 7- 9 ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote. Mpaka sasa tumbo limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni. Ndani ya miezi 7-9 ya ujauzito mtoto...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala...
1 Reactions
13 Replies
278 Views
Habari za wakati Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana...
1 Reactions
20 Replies
581 Views
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
15 Reactions
202 Replies
8K Views
Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?
1 Reactions
9 Replies
593 Views
Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…