Human Papillomavirus (HPV) ni virusi ambavyo vinaenea kwa urahisi kupitia uhusiano wa kimwili. Ni moja ya maambukizi ya zinaa yenye ushawishi mkubwa katika afya ya uzazi...
Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache.
Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku...
Ndugu wa humu ndani na watu wa jamvi hili,
Mimi ni msichana ambae ni mweupe wa asili tangu kuzaliwa lakini kitu ambacho kinanikera ni kwamba nina weusi mkubwa katikati ya mapaja pamoja na mabaka...
FIBROIDS NI NINI?
Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke. Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa. Zinatengenezwa na kambakamba...
Mnyonyo ni mbegu zinazotokana na mti wa Mbarika. Sasa mwenye kujua zaidi atuhabarishe, manake hizi mbegu mi nasikia ni zaidi ya dawa!!
Kwa niliyoyasikia hasa toka kwa wazee wa zamani ni haya...
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake...
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa.
Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
Maelezo ya picha,
Maharage
Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.
Wakati mwingine...
Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
Wasalaam Sana wajumbe.
Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira...
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.
Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni...
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma...
Habari za asubuhi ninaomba msaada kwa mwenye kujua tiba mbadala ya NYAMA ZA PUA nje ya kufanyiwa operation ninasumbuliwa na tatizo hili zaidi ya miaka 15 sasa hadi imefikia nimetatiwa mnoo naishi...
Habarini wanajamvi
Nimekuja hapa kuomba msaada naumwa ugonjwa wa korodani erosion ila sina hakika kama ndo huo maana nimetumia dawa lakin naona bado ni vilevile huu mwezi wa sita natumia...