Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari wakuu, nina tatizo linanisumbua nimeona niliweke hapa jamvini mnisaidie.nina ujauzito wa wiki 10 sasa,tatizonililo nalo ni kusikia njaa kupita kiasi kila wakati.yaani nakula sasa ivi...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
Wakuu habari za muda huu! Leo nimekutana na mkanganyiko wa majibu ya HIV test baada ya kumpima girlfriend wangu... Kwanza ilionesha Single Line Kwenye Control "C" baada ya dk 5-10 hivii tangia...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nahisi nina virusi viko kwenye korodani kila Niki test HIV nakuta Niko negative nikwa muda sasa zaidi ya miaka 8. Toka siku nilivyovipata kwa njia ya unsafe sex nilihisikabisa kuwa vinaniingia...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini? Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii? Je, hii hawezi...
4 Reactions
771 Replies
234K Views
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video ya mzee akielezea namna alivyotibiwa ugonjwa wa presha na ganzi ya miguu kwa njia ya reflexology, sasa nataka kujua hii tiba ni ya kweli? na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Samahan jamani nimecheki magonjwa kibao sikutwi na tatizo lakin mtu bado najihisi naumwa, ukimwi ndo karibu mara nane sasa tangu mwaka uanze lakini hamna kitu nataka kujua nikipimo gani unaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kizazi chembamba (Cervical stenosis) Ugumba unaweza kutokea kwa sababu manii hayawezi kupita kwenye mlango huo ili kwenda kulirutubisha yai, hali hii huweza kusababisha mkusanyiko wa damu katika...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda. Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima. Wakuu hii ni dalili ya nini?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
25ml mbili sampuli ya maziwa ya binadamu.sampuli ya Mkono wa kushoto ni maziwa ya kwanza, maziwa majimaji yanayotoka kutoka titi lililojaa. sampuli ya Mkono wa kulia ni maziwa ya nyuma, maziwa ya...
3 Reactions
4 Replies
6K Views
Habarini doctors na wanajamii wa forum hii. Naomba nipate dawa ya kisukari kushuka nipo mbali na huduma za hosipital. Ila hizi dalili ziliwa kunipata 2014 Nikapima nikaambiwa sukari imeshuka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wataalam wa afya mliopo humu kumetokea kuadimika kwa dawa za truvada CTC je hili swala ni la taifa zima? Na je dawa hizi zaweza patikana madukani japo watu wanunue kwa pesa? Na je ni ipi dawa...
1 Reactions
2 Replies
727 Views
Habari... Ni kwa mda sasa nimekua nina tatizo ambalo naitaji kujua chanzo chake na ni dalili za tatizo au ugonjwa gani mana napata wasi wasi kidogo Nikwamba......sehemu zangu baadhi za mwili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr nina maumivu ya vichomi kushoto na kulia chini ya mbavu ambapo ni juu ya tumbo sijui tatizo litakuwa ni nn
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari polen majukumu,kwanza nitoe shukran zangu za dhat kabsa kwa wanajukwaa hili kwa msaada mkubwa wa kimawazo ya kitabibu pia nashukuru Mungu nmepata mtoto wa kiume week iliyopita ila kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wikend waungwana.. Kwa muda wa kama miezi2 nimekuwa muhudhuriaji wa hospitali kumuugiza Mama yangu Mzazi. Ndani ya miezi hiyo, amelazwa kama mara3. Tatizo linalomsumbua halieleweki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa mzazi(mwanamke) aliyejifungua kulifunga tumbo lake kwa mkanda au kitambaa ili kulifanya lirudi katika hali yake ya kawaida. Hii inafanyikaa sana kwa akina mama ambao...
1 Reactions
17 Replies
24K Views
SOMA HADI MWISHO NA NUSURU NDG YAKO.MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO, SOMA.. USIPUUZE.!! Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..Mzee wetu...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Ndugu wanajamvi, Kutokana na kuongezeka kwa wimbi la tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hivo naomba kujuzwa zaidi na wataalamu na wazoefu wa mambo hayo kama ni miongoni nwao na je nifanyaje ili...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…