Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

kwa wale dada zangu ambao wamekua wakipitia kipindi cha kuchoka choka mwili na maumivu ya mgongo pamoja na kuwa na uzito mkubwa wa mwili (unene) hatua hizi zifuatazo ni tiba tosha na wala huitaji...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Hivi hili tatizo ni la dunia nzima au Tanzania?. Nauliza hivi kwa sababu nataka nijue kama hili tatizo hata huko dunia ya kwanza,ulaya,marekani,hilo tatizo ni kubwa kama ilivyo Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama mada tajwa hapo juuu isemavyo[emoji jamani naombeni msaada, nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpaka leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato bc nifanyeje ili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu ana tatizo hilo linamtesa sana toka akiwa mdogo amefanyiwa operation mara kadhaa na bado unajirudia. Ulimtokea ktk eneo la pua na jicho. Nawakaribisha wataalamu kwa msaada kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu leo asubuhi niling'atwa na kitu kwenye kidole cha mguu, bahati mbaya sikufahamu hicho kilichoning'ata Mpaka mda huu kidole kinaniuma Nimechunguza chunguza nikaja kugundua kuwa niling'atwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninaumwa kifua miaka 3 sasa ilionekana uvimbe kwenye pafu la kulia lkn wakipima hawaoni kitu, ninashindwa kupumua na ninakohoa damu! Ila awali nilipima wakasema nina wadudu wengi wa amiba ambao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Hospitali kuu ya jimbo la Shandong nchini China wanatarajia kuja nchini mwezi wa nane mwaka huu kwa ajili ya kufanya kambi maalum ya matibabu ya moyo...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Habari zenu waungwana natumai hamjambo na mnaendelea vyema na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa. leo naomba niwajuze faida mbalimbali zitokanazo na majani ya mpera Mapera ni matunda...
1 Reactions
6 Replies
27K Views
Habari za Leo wanajamvi ni hivi ni miaka mitatu sasa uncle wangu alikuwa anahangaika kutengeneza Dawa ya mitishamba itakayo tibu Cancer na ukimwi hatimae majibu yamepatikana baada ya kuwatibu watu...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku. Ni dalili ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ndg wana JF Habari za leo. Napenda niende moja kwa moja kwenye maada. Nimeoa na ni baba wa mtoto mmoja,mke wangu ni miongoni wa wanawake wenye mzunguko mrefu sana wa hedhi (30-35). Katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nasumbuliwa sana na tumbo wakati wa sku znagu na huwa naingia cku 3 had5.Lkn mwezi huu toka nilvyopta tar20 hadi leo damu hazijkata
0 Reactions
6 Replies
958 Views
Mambo VP wakuu..katika pitapita zangu katika vijiwe nimekutana na jamaa ambae ni bingwa wa research zinazohusu papuchi Jamaa anasema kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanaojichubua ngozi ya mwili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana Jf, Mimi nina matatizo ya maumivu kwa muda mrefu sasa hata miaka 4 ninapata maumivu upande wa kushoto juu ya kiuno au niseme chini ya mbavu
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ushauri wenu,hivi dawa hiyo unaweza safishia kidonda cha operation na pia kuitumia kama dawa unapo taka kukifunga kidonda hicho au matumizi yake kiusahihi ni yapi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kujua hivi mtu mwasilika ni kweli akimeza baadhi ya dawa kama piritoni akipima HIV kwa mda huo huwa inasoma negative?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf, Napenda kuuliza, mie mtu mzima nilikuwa natafuna ubuyu kwa bahati mbaya sana nikajikuta punje moja nimeimeza kwa bahati mbaya. Je, nifanyaje ili kuweza kuitoa? Nitashukuru...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Wadau habarini za asubuhi..naomba niende kwenye mada husika hapo juu..nina mdogo wang alikuwa mzima kabisa utotoni lakin kwa sasa hasikii baada ya kupima muhimbili wakatwambia kuwa hawezi kusikia...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari Wanamjengo Jamii. Nna Tatizo La Kutosikia Vizuri. Nitumie Dawa Gani?
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Ni mimba changa sana ina mwezi mmoja na siku kadhaa tu,na si mimba yangu ya kwanza,napata maumivu makali sana chini ya kitovu nikipumzika leo kesho mtindo mmoja,na kizazi kimeshuka kwa kiasi...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…