Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

MAAJABU YA KARANGA MBICHI Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu.Kiukweli karanga siyo chakula cha...
7 Reactions
52 Replies
60K Views
"Laughter and crying are closely linked from a psychological and physiological standpoint. Think of the last time someone told you a joke that made you buckle up with laughter and you could hardly...
3 Reactions
0 Replies
419 Views
  • Closed
Habari za asubuhi ndugu zanguni. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi... Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...? Ana kg 8 na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wanaojua zaidi ni dawa au chakula gani ni bora kwa afya ya akili ambacho chaweza kuongeza uwezo wa kumbukumbu na uwezo wa kufikiri? maana binafsi napata shida kwenye Kumbukumbu. Sent using...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.Mtoto anaumwa matezi muda wote.Pamoja na kuhangaika Sana ktk kutafuta matibabu lakini bado.At the same time ana tatizo la kifua(pumu) ambayo Baba yake anayo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi kukohoa damu ni dalili ya ugonjwa gani?
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Salaam wana JF.....kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza,nimesumbuka kwa muda mrefu sana juu ya tatizo hili la Ngozi la kijana wangu. Mwenye ufahamu jinsi ya kutibu tatizo hili au Dr ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza dawa ya mtoto kutembea.
0 Reactions
15 Replies
26K Views
Msaada tafadhali,mwezi January hedhi lianza tarehe 11 ,mwezi wa February ilianza tarehe 8, mwezi huu imeanza jana 05/March,na siku za za hedhi ni 3-4. Nilitarajia mwezi huu ingeanza 08/March...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Ndugu zangu nasumbuliwa sana na kiungulia nimejar kwenda hospitali lakin sijapata nafuu kabisa...naomba anayefahamu tiba ama doctor wa kuweza kunisaidja nikapona hili tatizo.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za usiku na poleni na uchovu wa weekend naomba mwenye kufahamu tiba nzuri ya kuongeza damu kwa kutumia dawa za asili anisaidie ninachomaanisha sio dawa za Hospitalini. Asanteni Sent using...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Nataka kufahamu hili,bila kutumia vipimo vya kitaalam je kuna dalili zozote kwa mjamzito zinazoashiria uwepo wa mapacha?
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wenye magonjwa sugu wengi huishi kwa msaada wa dawa. Dawa unazokunywa kupitia kwenye damu ili kufika kwenye chembe hai za mwili. Baada ya kufanya kazi dawa nyingi huchujwa na figo na kutoka na...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Is it normal for a woman to see her virgin hole when lift up or spread up her legs
0 Reactions
5 Replies
618 Views
Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi. Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto...
0 Reactions
60 Replies
12K Views
Habari wadau.. Ni kama wiki na kidogo sasa sehemu mbalimbali za mwili ninatokwa na vipele vidogovdogo kama vya jasho lakn vinawasha hali inayopelekea kujikuna hadi naichubua ngozi wkt...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujua dalili za mimba zenye mapacha zinakuwaje kuwaje, hata ukiweza kutoa uzoefu wako hapa itapendeza sana kwa faida ya wengine. asanteni na karibuni
1 Reactions
25 Replies
85K Views
Nmekatwa nikiwa nanyolewa nmestuka kidogo maana mashine inatumiwa na watu tofuaut tofuauti. Exalio.
2 Reactions
34 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…