WOGA, ambao kwa lugha nyingine wanaita PHOBIA ni ugonjwa ambao unapatikana kwa walimwengu wote ila inategemeana aina na approach yake.
Kuna aina nyingi ya phobia ( woga)
1. Glossophobia -- ni...
Habari wadau.
Naenda direct kwenye mada.
Naomba kujua, umri wa ujauzito (mimba) kwa mwanamke unaanza kupimwa baada ya mda gani tangu kufanya tendo la ndoa?
Yani daktari akimpima ujauzito mwanamke...
Tumboni kwetu kuna kemikali kali ambayo ina uwezo wa kuunguza ngozi, msumali, sakafu, karatasi na kadhalika kama ambavyo unaona mtu akiwa amemwagiwa maji ya betri (Asidi ya salfyuriki). Kemikali...
Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.
Fentanyl ni Dawa halali (painkiller) yenye kutibu maumivu makali sana kama extreme chronic pain kama advanced cancer stage yenye excruciating pain isiyovumilika.
Dawa hii ina opioid zao...
UGONJWA WA MAFINDOFINDO
Kumekuwa na uelewa mdogo wa suala la vidonda vya koo maarufu kama mafindofindo katika jamii zetu. Watu wengi wamekuwa wakiamini uognjwa huu unasababishwa na utumiaji wa...
Habari jf doctors
---Najiskia mwili kuchoka sana kiasi sijiskii kufanya kitu chochote
---vichomi vichomi baadhi ya maeneo tumboni
---kooni kama kuna donge fulani limeziba kiasi nikila najiskia...
Kwa wale wataalam wa afya mfano wauguzi, madaktari na ma lab technician wanaokutana na mazingira mengi ya kushika damu za wagonjwa.
Ajali kazini hutokea mfano daktari anamfanyia OP mgonjwa ambaye...
Habar za mchana wakuu,
Ndugu yangu ( me) amepata msongo wa mawazo na tumejaribu kumsaidia kisaikolojia, alipata nafuu kwa muda, ila hali imejirudia tena.
Mbinu gani nitakazotumia aweze kujirudi...
Ndugu niko na zaidi ya mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na mwili kukosa nguvu na kikohozi kikavu wakati wa usiku makohozi yakibahatika kutoka yanakuwa kidogo alafu meupe maumivu juu ya mgongo nyuma ya...
Msaada kwa anayejua kile kifaa cha kupimbia mimba( preginacy test) huwa kinaanza kuonyesha mimba ikiwa na week ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naomba anayejua dalili za tibii aina zote naomba anisaidie kuwa ni zipi, nina zaidi ya mwaka mmoja mwili hauna nguvu na kichwa kinauma kwa ndani mpaka juu ya kichwa lakini usiku nakohoa...
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za...
Habari zenu,
Nilikuwa naomba msaada, dada yangu ameenda kuonana na gyno akapimwa akaambiwa ana P.I.D na hormones zake imepanda moja akapewa dawa, sasa dawa zimemkataa kabisa akinywa anaishiwa...
Muhogo ni chanzo cha tatu cha chakula baada ya mchele na mahindi barani Africa . Na sasa chakula hichi kimejipatia umaarufu mkubwa mno baada ya kuhusishwa na faida kabambe kwa jinsi ya kiume...
Watalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda...
Wakuu,tumepanga kumkatia bima kwa matibabu kijana wetu.Nimeanzia NHIF kwa mwaka unalipa 50,400/ ila kuna hii ishu ya kupata usumbufu wakati wa huduma yenyewe,namaanisha foleni.
NHIF mara nyingi...
Habari
miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.
kwa wenye...