KWA WALE WENYE KUHITAJI BLACK SEED OIL AU HABBAT SODA OIL WANAWEZA KUWASILIANA NAMI KUPITIA 0756419186. UBORA WA MAFUTA HAYA KATIKA TIBA NA KWA AFYA YA BINADAMU UNAWEZA KUINGIA MTANDAONI UKAIPATA...
Naomba msaada wenu wa mawazo, nina maumivu ya Shingo kwa muda wa Miaka kumi hivi tokea kisogoni,shingo(misuli) mpaka mgongoni kati kati ya Mabega.Ambapo nikijaribu kunyosha shingo misuli ikikaza...
Habari wana JF, mimi nina mtoto wa miezi miwili ambaye alizaliwa akiwa na week 34 tu tumboni. Baada ya kuzaliwa alikaa kwa muda wa siku tatu kisha madaktari wakamruhusu na kutuambia baada ya week...
Leo jioni nimepigiwa Simu na rafiki .
Aliniuliza direct question, amepima hepatitis B 22 November 2018 na majibu yalikuwa negative. Na kuanza chanjo 12//1/2019 alitakiwa kwenda kuchoma last dose...
Naanza wiki ya pili sasa toka tatizo hili lianze naomba msaada ....napenda kujua chanzo cha tatizo na nini Tiba yake ....yani mate yamekauka mdomoni napata Shida kula kwa sasa inanibidi Nile...
Watafiti wanaendelea na uchunguzi wa kinga itakayokuwa inadhibiti maambukizi ya Malaria kabla mashambulizi kutokea
Kwa muda mrefu watafiti wamefanikiwa kutumia kemikali kuua vimelea vya Malaria...
Salaam waungwana?
Kama mada inavyojieleza
Nilikua katika dozi ya malaria nilikua natumia dawa mseto almaarufu ALU
Sasa dozi ndo nimemaliza Leo na hapa nilipo Nina kiu mbaya
Sasa nauliza je...
Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.
Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae...
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu
Sent from my iPhone using...
Rối loạn tăng động giảm chú ý (ADHD) là một chứng rối loạn não bộ tác động lên khả năng chú ý và tập trung của người bệnh. Một số người có biểu hiện tăng động và các triệu chứng khác. Một khi đã...
Ugonjwa ni janga. Ni jambo la kuogofya. Inahitaji tahadhari. Tahadhari ya kwanza ni elimu. Picha kadhaa ni maelezo ya Dr Norman kuhusu ugonjwa huu. Tukumbuke ugonjwa huu umeshaua wagonjwa kadhaa...
Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akieleza kuwa hakuna UKIMWI wala HIV bali ni hoax flani hivi iliyoanzishwa na watu ili kupiga hela. Kwa maana wauze ARV ila hakuna cha UKIMWI wala nini...
Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.
Habari ,naomba kupata msaada ,kwa mtoto wa miezi mitatu kupata choo chenye mapovu mapovu na ukijani ,shida ni nini? Na tatizo hili unaweza kulitibu vip
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni wapendwa...
Kuna rafiki yangu kaja hapa Ghetto anadai kuwa uume wake sehemu ya kichwa kwa nyuma amekuwa akitokewa na viupele vidogo ambavyo vinakuwa na maji maji hivi na badae...
JE, NGONO KINYUME NA MAUMBILE NI SALAMA?
.
. [emoji3504]HAPANA, Ngono kinyume na maumbile si salama kwa sababu ina madhara mengi kiafya kama yafuatavyo; .
.
[emoji117]MOJA, Njia ya haja kubwa...
Jina sahihi la hali hii ni Nocturnal Penile Tumescence (NPT).Ni hali inayotokea karibia kwa kila mwanamme hasa vijana.Watu wengi huamini hutokana na kusisimka au kupanda kwa hisia za kufanya...