Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba kujuzwa tafadhali, kama kuna athari yoyote kwa mgonjwa kunywa dawa kwa kutumia maji ya baridi (yaani maji yaliyotoka kwenye JOKOFU) ......... Msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekua addicted na mchezo wa kubahatisha wa bonanza kiasi cha kuhatarisha uchumi wangu. Hii hutokana na kila ifikapo kuanzia saa 12:00 jioni sina cha kufanya kiasi cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF?!!! Kumekua na tatizo linalosumbua watu wengi sana juu ya kukoroma aidha usiku au mchana hasa pale tu mtu anapolala.... na imekua kero sana kiukweli maana kuna wengine hukoroma...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu umofia kwenu. Hii salamu ni ya kiafrika . Nauliza wataalamu wa udaktari kuna tofauti yoyote ya mtoto anayezaliwa Kwa upasuaji NA aliyezaliwa kwa njia ya kawaida?
0 Reactions
3 Replies
746 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wana-Jf Nasumbuliwa na ukuaji wa matiti yamejaa sana, halafu yanauma kila wakati, mpaka nakosa amani sasa. Nauliza; Kama kuna mtu anafahamu namna ya kuyapunguza kwa namna yyoyote...
1 Reactions
46 Replies
16K Views
Tambua kuwa mtu binafsi hawezi jitambua kama ni kichaa au amekuwa na upungufu wa akili mpaka jamii inayomzunguka ione matendo husika na kumuwaisha hospital au kumfunga kamba. soma hapo chini...
9 Reactions
15 Replies
6K Views
Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UGONJWA WA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU {CONSTIPATION} Ugonjwaa huu kitaalam tunaita constipation mtu hukosa choo siku tatu au mpaka wiki nzima na akipata basi ni kidogo sana na kikavu mpaka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naam, ajabu za sayansi ya kisasa hazizidi kumshangaza. "Uvumbuzi" halisi wa kwanza ulikuwa ni prophylactic (kondomu). Uvumbuzi mwingine wa kisayansi ulikuwa Viagra. Leo, kwa mujibu wa Daily Mail...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Lugha nyepesi Kinyesi cha mtoto akiwa kwenye tumbo la uzazi hufahamika kama [Meconium] Mara nyingi wafanyakazi wa hospitali watamwambia mama kwamba mtoto wake "alikula" au "alimeza" uchafu...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
HABARI WANA JF! Nina shida naomba mwenye uelewa anieleze nini tatzo Ninaishi na jamaa yangu, sasa jamaa huyu ana mchumba wake. Alikuwa mbali kwa takribani miezi miwili hivi Sasa jana mchemba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyesoma diploma ya afya kozi ya nursing akitaka kwenda degree anasoma miaka mingapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
668 Views
MADHARA 5 YA KUTOWA MIMBA. Leo tuzungumzie madhara matano ya kutoa mimba na madhara yake kama tutakavyoona hapa leo. UNAWEZA KUPOTEZA UHAI Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli...
2 Reactions
4 Replies
13K Views
Endeleeni tu ‘ Kufakamia ‘ hovyo Michips, Mipiza na Mihambaga pamoja na Misoseji huku mkijiona mmeukata Kimaisha na kwamba mna Hela za Kutosha wakati kumbe Ulaji huo ndiyo unatusaidia Sisi wengine...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Za leo wapendwa, nipo mbele yenu nikiwa ni mhanga na muathirika wa HD mpaka sasa nishafanya chemotherapy 2nd cycle umebaki uvimbe mdogo sana kwa ndani(mpaka ushike ushike nodes) ndo unafeel...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
Hello!! Wanajamvi habari ya mda huu..... Kwa wale waliougua vidonda vya tumbo wakapona naomba tujuzane aina ya dawa ulizotumia tafadhali kwa sababu ni vidonda vinasumbua sana hata shughuli...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Msaada ndg zangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
53 Replies
13K Views
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo la ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza kupata ukimwi
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…