Nimekumbwa na miwasho sehemu za mwili hasa kwenye maungio sehemu za tumbo na kwenye mapaja bila vipele isipokuwa vipele vimetoka kwenye makende na kwenye mashine(uume). Vinawasha mno nikivichokoza...
Heshima yenu wadau,
Yapata wiki tano zilizopita nilichoma sindano katika kalio , lakini sindano hii ilikuwa na maumivu makali tofauti na sindano nilizokwishawahi kuchoma zamani. siku moja baada...
MIHOGO na nazi mbata ambavyo huuzwa kwa wingi na kinamama jijini Dar es Salaam, vina uwezo mkubwa wa kurejesha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Uwezo wa mihogo na nazi mbata au kwa kuchanganya...
Asalam wakuu,
kijana wangu ana umri wa miezi kumi na wiki mbili.
kidume huyu kaanza kuota meno (hayaonekani kwa macho) ya juu tofauti na ilivyo kawaida kuanza ya chini.
PILI meno yanachelelwa...
Habari zenu experts!
Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi mitano sasa, lakini sijafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua...
Habari wana jamii forum naomba kuuliza mtu mwenye kunua dawa ya kienyeji inayopunguza makali ya cancer . nina mgonjwa wa cancer ya kizazi ameshapata chemo kama mara 2 yakwanza ilikuwa mwaka juzi...
Wakuu kwa mwenye uzoefu mtu mwenye degree ya human Nutrition akiajiriwa pale muhimbili labda kitengo moi, monthly salary anaweza akaanza na package kiasi gani?? Nina sababu ya kuuliza hivi wakuu...
Aghalabu, kupanda kwa joto la mtoto au homa kali kwa lugha ya kitabibu husababisha wasiwasi mkubwa kwa wazazi ama walezi walio wengi hususan katika miezi michache ya kwanza ya maisha ya mtoto...
POST TRAUMATIC STRESS DISORDER
(PTSD)
Overview
Post-traumatic stress disorder (PTSD) is a mental health condition that's triggered by a terrifying event — either experiencing it or witnessing...
Hivi wadau kuna namna yeyote ya kuacha kujipiga selfie ? Ni muda sasa tangu nianze kujihudumia, japo sijawahi kupata madhara yeyote kuhusiana na hii Tabia yangu, ila naomba msaada wa kuacha hii...
Msaada wenu ni kama wiki 1 imepita nililala na mwanamke sasa kuna mda uso wake ulikaa sana shingoni kwangu toka siku hiyo ile sehemu inaniwasha sana haiponi sasa naomba ushauri wenu bado sijatumia...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni muhanga wa hili tatizo kwa muda mrefu sana nimetumia dawa ya allerg kama cetirizine imeshindikana mwenye ufahamu ya namna ya kuweza kupona anisaidie...
Humu JF kuna member maarufu sana anaitwa deception huyu bwana ni miaka mingi humu JF alikuwa anapinga swala la uwepo wa VVU/UKIMWI. Kutokana na utafiti mwingi ambao huwa anaufanya katika maandiko...
Habari wakuu, leo ntashare tips za kutengeneza viagra ukiwa umetulia zako nyumban na ukawa unatumia kupigia kazi hamna dunia nzima.
Steps ni kama ifuatavyo:~
1. Nunua tikiti maji na limao zako...
Nategemea wadau hamjambo.La muhimu sisi watu wa kawaida,tusiokuwa wataalamu wa afya,huwa hatujui ni hospital ipi kwa kupeleka mgonjwa wa maradhi yapi.Huwa kwa upande wangu,ninaposikia wapo...
Pombe imekuwa kimbilio la wengi kama sehemu ya starehe au moja ya kitu cha kuondoshea msongo wa mawazo.
Kiukweli Pombe ni neurotoxin (sumu ishambuliayo mfumo wa fahamu) ambayo huharibu ubongo...
Daktari Awaonya Wanaume na Wanawake
Kunyoa Nywele za Sehemu ya Siri
Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu...