Mara nyingi wanaume wanaojichua [masturbation] ni wale ambao hawana wanawake, Wanaume wengine hawajichui kwasababu wamepoteza hamu ya tendo la ndoa [sex]. kutokana na mapungufu ya hormone ya kiume...
Ni kijana wa miaka 38, tatizo langu kubwa ni kushindwa kuzuia mkojo hasa nyakati za baridi au nikinywa maji mengi, sikua hivi mwanzo lakini nashindwa imetokana na nini. Mkojo unakuja kwa ghafla...
Msaada wenu wapendwa mwanangu ana miezi 5 amekuwa akisumbuliwa na homa yaan anakuwa na joto kalii kichwani mikononi na tumbo ila kila nikienda hospital mtoto hana malaria. Japo mwanzo nilimkuta...
Habari tafadhali naomba msaada kwa member wanaoishi mwanza wapi naweza kupata chanjo ya mtoto mchanga (Siku kumi) ile ya begani bugando hazikuepo siku amejifungua na kituo cha afya hapa karibu...
Madaktari wetu kwa baadhi ya hospital na vituo vya afya wamekuwa kama sio madaktari kabisa.
Leo mtoto wangu amepelekwa hospital moja mkoani singida kupima afya mara baada ya kuonekana anatapika...
habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida...
Wadau naomba kujuzwa kama kwa hapa Dar es Salaam au Tanzania tuna Hospital inayohusika na hicho kipimo tofauti na pale kwa Mkemia mkuu wa Serikali.
Natanguliza shukrani.
Hello pipo, naomba kujua iwapo Tanzania kuna kipimo cha DNA. Na je ni bei gani!!?
Hawa watoto nataka nikawapime, coz simwelewi wife hasa huyu mtoto wa mwisho, nlikuwa masomoni kwa mda sasa...
Magazeti na vyombo vya habari kwa jumla nchini Afrika Kusini leo vimekuwa vikijadili sera ya ukimwi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thabo Mbeki.
Swala hilo limeibuka upya baada ya Mbeki kujaribu...
Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?!
Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu...
wakuu heshima kwenu.
Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi...
Figo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa mnyama na binadamu kwa kufanya kazi nyingi ikiwemo kutoa taka mwili n.k
Figo hukumbwa na matatizo mbalimbali ambazo huathiri utendaji wake kazi.
Leo...
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Mirungiu ni mmea ambao una majina mengi kulingana na eneo husika ambao unatumika , mfano wapo wanaita gomba, miraa, mirungi na majina mengine kama hayo. Ulaji wa mirungi ulianzia Ethiopia...
Habari wanajamvi?
Katika kipindi cha kuanzia 2010-2016 nimepoteza ndugu wa KARIBU sana 7 wakiniacha kwa maradhi ya saratani ya KOO,KIZAZI NA INI.
Hapa naandika ndio jana nimezika mtu wangu wa...