Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika). Majibu ya ugonjwa...
25 Reactions
358 Replies
49K Views
Utafiti umeonyesha kuwa imani za zamani kwamba glasi moja ya mvinyo wakati wa chakula ni muhimu ni potofu. Unywaji wa pombe kupitia kiasi sio mzuri kwa afya yako kitu kilichothibitishwa kisayansi...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Jamani, watalaam wa haya mambo, toka nioe, sijawahi kumaliza siku 3 bila kugegeda labda awe safari, na period, yake kuna madhara gani ?
0 Reactions
96 Replies
37K Views
Habari zenu wapendwa, kwa wiki moja mfululizo mwili hauko vizuri, nimepima malaria ,choo,mkojo, nk sijakutwa na kitu! Daktari akasema inawezekana ni hiyo BP akanipa dawa! Akashauri nipunguze uziko...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
ICT
Jamani naomba kuuliza, je nikazi au ni ajira gan inaweza kupatikana endapo mtu akasoma mpaka diploma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Nashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika...
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Habari zenu.......... Tatizo la nyonga upande wa kushoto pamoja na misuli ya mguu ambapo misuli huuma kuanzia pajani kushuka mpaka karibu na kisigino..... ... Ipi tiba yake na dozi yake ipo vipi...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Kuna mtoto wa kike nilikuta nae maeneo flani hivi nikaona ameng'oa meno yote ya mbele. Na alikuwa kama anamiaka 6 ambaye ni sawa na umri wa mtoto wangu. na mm hapa kuhusu mtoto wangu hajang'oa...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Je unafahamu madhara yatokanayo na kuweka vidole wakat wa kujisafisha au kutumia douches sehemu za siri? Sent using Jamii Forums mobile app Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa...
2 Reactions
56 Replies
25K Views
Habari wanajamvi? Tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kutokana na magonjwa ila mbaya zaidi unakuta magojwa fulani yanawandama zaidi tabaka fulani. Kuna huu ugonjwa wa figo na kifua haya magonjwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu.naomba nielezee tatizo langu. Mimi ni kijana wa makaomo mwenye afya timamu sina stress kabisa lakini kuna jambo huwa watu wananiambia.ni hivi. Nikiwa nimekaa na watu wengi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mungu ndio anajua hali niliyokuwa nayo wakati nasuburia majibu ya kipimo hiki. Ila, nina furaha ya ajabu baada ya kupata matokeo haya. Wenye gut, karibuni tujue status zetu. Sio mpaka msubiri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.Ugonjwa juu usiokuwa na jina la kitaalamu umenisumbua kwa mwaka sasa.Niliambukizwa nilipofika morogoro kufanya research.Baada...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Calcium ni madini muhimu kwa ajili ya kuimarisha mifupa na meno, vidonge vine hutoa asilimia 100 ya kiasi cha calcium itakiwayo kwa siku katika mwili ina 1000mg ya calcium pamoja n 400iu ya...
0 Reactions
23 Replies
14K Views
Habari wapendwa Naomba kufahamu katika hili. Nina watoto mapacha wamekutwa na upungufu wa damu mwilini kiasi cha kutoka vidonda mdomoni. Hawawezi hata kula vizuri. Je nini chanzo cha tatizo hili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
A), COMPOUND MARROW POWDER / Supplements calcium and magnesium to relive osteoporosis symptoms such as joint pain and lumbago; / strengthens hematopoietic function. / Improves immunity;relieves...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari? EKENYWA, MUHIMBILI Hospitals. Naomba ushauri, ni hospitali ipi nimpeleke mgonjwa wangu? Kwanini nimpeleke uliponishauri badala ya kwingine? Mgonjwa anasumbuliwa na vinyama vilivyoota...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Habari za mida hii waungwana wa humu waungwana nilikuwa naomba kujua kula bamia mbichi kuna madhara?au kuna faida maana siku hizi nimejikuta napenda kutafuna bamia mbichi.Ahsanteni
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Imekuwa ni hatari sana kwa baadhi ya watu wengi tukisumbuliwa na sukari, hii yote husababishwa na lishe tunazozipata ambazo mara nyingi huwa na kemikari (chemical) ambazo huenda kuathiri kongosho...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fangasi ni ugonjwa unaowasumbua wanawake wengi duniani. Asilimia kubwa wanatibu lakini ugonjwa hurudi mara kwa mara. Fangasi kiasili aina ya Candida Alibican huishi ukeni bila kusababisha madhara...
2 Reactions
4 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…