Habari wakuu,
Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu...
Kama umechunguza hili utaungana na mm kua walemavu wengi wa akili huwa na maumbile ya kiume kubwa oversize tofauti na wastani
Je ni sababu gani ya kibaologia inayochangia hawa watu kuwa na neema...
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko...
Naomba mtu anayejua au anamfahamu daktari wa saikolojia MUHIMBILI , aniunganishe nae au anipe mawasiliano yake. Kuna mtot wa dada yangu anajisikia vibayani mda sasa.
Nashindwa kuelewa kila mwanaume nliyekutana nae huwa anashindwa kusex na mimi huku wakidai uke wangu umebana sana wakinambia huenda nna tatizo. Na wengine huwa wanakimbia kimya kimya wakidhani wao...
1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week).
2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji...
Kuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia...
Habari za jion wana JF,
Nimekua nikitumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwa muda wa miezi 6 sasa ,mwanzoni niliandikiwa dawa aina ya BISOPROLOL nikatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu nikaacha...
Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya...
PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa.
PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi.
Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru.
Japo...
Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama...
Maelezo ya picha,Utafiti umebaini ulaji wa tambi na wali kwa wingi husababisha ukomo wa hedhi mapema
Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa mgonjwa alienda kupima ecg akaambiwa ana short pr interval naomba kujua matibabu yake na kama inatibika na kua katika hali ya kawaida.
Shukrani
Naomba niwashirikishe kilichonipata ili angalau walio na tatizo kama lililonipata waweze kujua pakuanzia.
Miezi ya hivi karibuni nnapatwa na hali flani ya kukosa pumzi na Kupumua kwa shida, hali...
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana.
Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina...