Hello Wana JF kama Kuna mtu ambaye anasumbuliwa na Tatizo la mwili kuchomachoma pamoja na kwenye nyayo za miguu Kuna dawa ambayo inasaidia Kwa asilimia 95 Ni za Phamacy sio za kienyeji .Packet...
Hili wimbi la wanaume kukosa nguvu za kiume tatizo ni nini haswa!
Punyeto?
Msongo wa mawazo?
Lifestyle (ulaji)
Lakini kitu gani haswa kinafanya wanawake wengi kutoridhika na mme mmoja hata kama...
Habari ya leo wana jf wote,..ndugu zangu pindi njaa inapo niuma huwa natamani sana kula chakula,lakini ninapo anza kula tu basi huwa nakichukia chakula hapo hapo yani inatokea hali flani chakula...
Habarini wakuu,
Naomba kujua je, kuna madhara yoyote ya kutumia energy drink hizi za 500 au 600, na ni kwanini wanashauri usitumie zaidi ya mbili kwa siku?
Ahsanteni.
Wanajukwaa habari za mchana kuna shida kidogo hivi ni njia gani za kufuata kuondoa tatizo la kichefuchefu kwa mjamzito hasa ktk early stage ya mimba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata ajali nikavunjika mguu,niliwekewa chuma mguuni ,wakati wa kutolewa nyuzi sehemu ya goti palifumuka pakawa kama kidonda ,nikaambiwa patafunga ,lakini nimeuguza muda sasa karibu mwaka na...
Habari zenu ndugu zangu kuna kitu naoma mnipe mwongozo wa jinsi ya kusadia watoto wenye uoga wa kupitiliza, mfano mtoto akiona mjusi au mdudu anaogopa anatetemeka sana na kama kamuona ndani...
Wakuu habari za kazi,
Mada ya hapo juu yahusika sana.
Antiperspirant ni manukato yanayopakwa chini ya kwapa kwa ajili ya kuzuia jasho kutoka mwilini hivyo kufanya sehemu hiyo kuwa kavu kwa mda...
Habari za muda huu wana Jf , I hope mmeelewa uzi najua huku kuna madoctor wenye uzoefu na hayo mambo .
Swali langu pombe inachangia vp kupunguza nguvu za kiume kama baadhi ya mada nilizoziona humu...
Ndgu wana jukwaa, mdogo wangu wa kike ambaye yupo kidato cha sita kwa sasa amekumbwa na tatizo la maumivu makali ya vidole vya mikono hali inayopelekea kushindwa kuandika vzr ktk masomo yake...
Wakuu nahitaji msaada wa haraka sana wakuu mwanangu ana dalili amvazo wengi wanasema atakuwa na plastic teeth na hata cjui ni nn hiki na nifanye nn kujinusuru
Msaada tafadhari
Sent using Jamii...
Habari viongozi, kama kichwa hapo juu, nini inaweza kuwa sababu kutoka damu kwenye maziwa(chuchu) za mwanamke wakati wa kuyanyonya?
NB: hayana vidonda kwa nje, na damu inatokea ndani, na ni damu...
Wakuu eti ukichoma sindano ya uzazi wa mpango yafaa kukaa muda gani ndo uweze kujamiiana na mwenzi wako bila wasi wasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mwenye kujua dawa au namna yoyote yakunisaidia ili kuondokana natatizo la kupasuka pasuka midoma ambalo ilimenisumbua kwa muda mrefu msaada jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua virus vya ukimwi vinauwezo wa kukaa nje ya damau kwa muda gani mana nimechangia mswaki na Mdogo wangu ambae ni mwathirika na yeye alipgia baada ya Massa 24 nikapgia mm nimepewa PEP...
Habari za leo
Mimi nmepata uvimbe kwenye shavu baada ya kujigonga kwenye mlango sasa tatizo huu uvimbe unapungua taratibu sana nlienda hospital nkaandikiwa amplicox na dawa nyingine ya kujichua...
Habari wakuu...juisi yenye mchanganyiko wa tangawizi na kitunguu swaumu eti hapo natibu nini mwilini au napata nini kiafya??
N.B,it is a serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wa mawazo kidogo nini nifanye nilikutana na mwenza wangu tarehe 03 February baada ya kipindi kirefu kama mwaka kua safarini cha ajabu baada ya masaa kadhaa (kabla ya masaa 24 toka tu...