Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba mwenye kujua bima ya bei nafuu anijulishe, kwani nimenenda NHIF kikweli bei zao zipo juu sana. Naomba mwenye kujua anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo nimemkumbuka classmate wangu tukiwa first year akapata mimba akatoa sijui ilitokea nini aliumwa sana figo zikafeli, RIP my dear. Wa pili huyu tulimaliza chuo vizuri akapata na kazi miezi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF iimi nataka kufahamu ni masaa mangapi binadamu inabidi alale ili awe na matokeo mazuri kiafya
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau nimekua nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa kiasi cha kukata tamaa ya kupona. Iko hivi,sijawahi kuwa na tumbo comfortable,yaani muda wote najihisi haja kubwa na kwa muda kidogo sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau naomba ufumbuzi wa hili tatizo ,huwa napiga chafya mara kwa mara ikiambatana na macho kuwasha hii hutokea sio mara zote lakini ikitokea inakuwa kero sana ,nilienda hospitali wakanicheki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau wote wa jf, bila kupoteza muda naomba kuelimishwa na kujuzwa kuhusiana na hili nitakalolielezea. Nimejamiiana bila kutumia Kinga, siku ya pili baada ya kumaliza hedhi, mzunguko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
anaejua sehemu naweza kupata dawa inaitwa GOUT CHURNA anielekeze plz.............. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Mimba mwezi mmoja imetolewa. Madhara atapata huyu mtoto wa rafiki yangu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samaki wa aina ya Salmon,Maziwa fresh ya Ng'ombe,Jibini,Samaki wa aina ya Sardines,Mtindi,Totu,Ufuta,Maharage meupe,Mchicha na mboga ya sukuma wiki (Mboga ya Matembele)
5 Reactions
13 Replies
53K Views
Hivi inakuwaje Mwanamke mwenye elimu tu nzuri anatumia Medicated soap kuogea??..Medicated soap ni kama tetmosol,dettol n.k Hizi sabuni ni kwa ajili ya kuulia bacteria na zinatumika tu pale ambapo...
5 Reactions
5 Replies
9K Views
Ugonjwa wa ukoma ni katika magonjwa yaliyosahaulika katika jamii yetu, lakini ugonjwa huu bado upo katika jamii yetu. Miongoni mwa sababu zinazopelekea ugonjwa huu kusahaulika au kuonekana kama...
2 Reactions
4 Replies
18K Views
Ndugu zangu ni binti yangu ana miaka 6 sasa ,siku mbili zilizopita limetokea tatizo la shingo yake kushindwa kugeuka kama kawaida yaani akitaka kugeuka anageuka mwili mzima,naomba msaada wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba msaada kujua ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anatapika nyongi mara kwa mara na mtu huyo ni mgonjwa na vidonda vya tumbo msaada tafadhaali..asante
0 Reactions
13 Replies
22K Views
Je kunadawa ya kuzuia ndevu zisiote kabisa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu! Naomba kueleweshwa juu ya kile kinachoaminika kuwa ni uwezo wa kukuza maumbile ya kiume (uume). Nimekuwa nikiona matangazo mbalimbali toka kwa watu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ninaharisha tu maji maji bila tumbo kuuma sasa nimetumia 'loperamide' wakati huo huo nina dose ya kifua ya koflyn(diphenhydramine) pamoja na amoxlyn(antibiotics). Sasa naona mafua yameanza mpaka...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Ni baada ya kujichoma na sindano ambayo ina damu ya mtu mwenye HIV, tunaambiwa ukiwahi hospitalini na kupewa dawa kabla ya masaa 72 virus wanasambaratishwa na hupati HIV. Je ni kweli? Msaada wenu...
2 Reactions
84 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…