Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salam! Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya...
9 Reactions
82 Replies
12K Views
Habari wana JF, Leo ni siku ya tatu tangu vipele hivi viniote kwapani. Chanzo: Shughuli zangu nyingi ni vijijini hùko iringa, siku tano zilizopita nilikuwa huko na mvua zikaanza kunyesha hivyo...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wiki iliyopita nikiwa kazini ghafla nikawa naishiwa nguvu hasa za miguu, nikaenda kuchek maleria na typhod nikaambiwa nina malaria nikapewa dozi. Baada ya kumaliza dozi hali haikua nzuri nilikaa...
1 Reactions
6 Replies
931 Views
Juz nili lala mpenzi wangu baada ya kulala nae kesho yake akaja kuniambia kuwa nilimchubua vimetoka vidonda sehemu za k Nauliza ivi nikweli hivyo vidonda ni vimetokana na mimi kumchubua au kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikunya pombe kali ya Valeur chupa kubwa mwaka jana November 24 , nilikunywa kwa mkupuo bila kupumzika huku nimesimama mpaka ikafika nusu ndo nikaacha, baada ya muda kidogo nilipatwa na kichefu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi Mama yangu amekua akisumbuliwa na kisukari kwa miezi miwili sasa,na changamoyo kubwa imekua ni vyakula gani vizuri kwa mtu mwenye ugonjwa huu. msaada tafadhali Sent using...
3 Reactions
24 Replies
12K Views
Kuna rafiki yangu wa kike anasumbuliwa sana na kutokwa na damu (period) isiyo ya kawaida! Kuna mtu kashauri akaonane na (neolife health) msaada jamii Niliyeandika ni mwanaume! Naombeni msaada...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jamvi?? Kwa muda sana serikali inapiga kelele kuhusu ukeketaji lakini bado baadhi ya maeneo hawakomi, huenda kuna faida inayopatikana kutokana na kumkeketa mtoto. Kwa wale wanaojua...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili. Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Helow wadau!!! Nawasalimu nyote::: Hv ni hospital ipi kuna madaktar bingwa ya wanawake !! Nina shida Pia kwa mtu anaye jua watu wanaojiita " neolife health! Pia naomba anailekeze!!! Nisaidie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kujua ni kwanini wavuta sigara wengi wamechubuka midomo hadi imekuwa na rangi nyekundu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada wa elimu juu ya huo ugonjwa na kama matibabu yake yanawezekana tanzania ama hapa afrika mashariki maana kuna ndugu yangu nahis anateseka nao ugonjwa huo japo watu wengine wote...
0 Reactions
2 Replies
535 Views
SARATANI YA KIZAZI( CERVICAL CANCER) Hii n saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cell zilizopo ktk shingo ya kizazi.Mabadiliko hayo hupelekea chembechembe hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo. Naombeni msaada katika hili. Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa 2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo Lina uwezo wa kuondoa Cholesterol mbaya ijulikanayo kama (LDL) na kuongeza Cholesterol nzuri ambayo haina...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Wasalam! Ndugu yangu anahisi maumivu sehemu za pembeni ya tumbo;pande zote mbili.Kuna wakati alipima UTI na kuitibu.Lakini maumivu yanaendelea.Kwenye upande mmoja kuna kijimstari kimejichora...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu? Naombeni msaada wa kitabibu kwa yeyote aliyewahi kuwa na tatizo hili akalitatua au tabibu yeyote mwenye ufumbuzi wa tatizo langu. Nimepata tatizo la uvimbe mgongoni nyuma ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Latest Study: 1 in 4 Christian teen girls has an STD - More Christian profanity exposed world-wide! When it comes to expertise in pornography, homosexuality, fornication, adultery, open lewdness...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar mm n doctor phine ninadeal na matatizo yote ya uzazi kwa kutumia product za neolife: kama ulishawah ambiwa mirija yako ya uzazi imeziba,una kansa ya kizazi,UTI isiyo kwisha,PID,kutokwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any...
0 Reactions
65 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…