Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wadau,hivi n kweli kuwa zoezi la pull over linarefusha mwili,yaan mtu akiwa mfupi akipiga hili tizi anarefuka vizuri tu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau Ningependa kuuliza kuwa kuna athari gani kula mchanganyiko wa matunda mengi katika mlo mmoja? Hii inatokana na katika migahawa mingi hapa Dar es salaam, na hata ukipita maeneo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujuzwa kwanini maji ya barid ni rahisi kukata kiu kulilko yakiwa ya uvuguvugu. maana tuliambiwaga kiu husababishwa na solute ambazo ukinywa maji zinaeyuka na ndipo kiu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
WanaJF ninasumbuliwa sana na Tatizo la kichwa aisee naomba msaada wenu ndg zangu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau mimi nakumbwa na maradhi likitoka hili linakuja lingine[emoji22],,kwa sasa kifua kinabana nakohoa kwa shida kila nilalapo, ila mchana huwa sihangaiki kama usiku ,mchana nashinda vzr ila...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wajamen! Ninasumbuliwa na Malaria isiyoisha. Kila baada ya cku mbili nakunywa dawa za Malaria (metakefin) na hata naweza tumia dawa mseto dozi mbili but where! So anayejua dawa ya kutibu Malaria...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
maziwa ya mbuzi ni bora kuliko ya ngo'mbe na Hizi ni faida mhimu za Maziwa ya mbuzi hata (kupunguza uzito) maziwa ya mbuzi yana faida kibao mwilini lakini kubwa ni hii ya kupunguza mwili...
3 Reactions
4 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wenu nina tatzo la kutokewa na vidonda pua moja ya kushoto kinauma sana kinanitokea Mara kwa Mara kikipona nakaa kidogo kama mwezi au miezi 2 kinatokea ndani...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu poleni na kazi,nauliza kuwa :UPT inaweza kusoma ndani ya wiki moja? Nisaidieni mawazo nahisi mambo hayapo sawa
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za jion, kuna demu fulani nimeona anatumia vidonge hivi sijaelewa ni vya nini. Kwa yeyote anayeelewa tafadhari msaada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari za jumapili wakuu. Naombeni kujua ili kuondoa Utata, Eti pana ukweli wowote kwamba mwanamke akiwa ameshika ujauzito kwamba ataanza kupata Na muwasho katika sehemu zake za Siri, Nikiwa Na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikuwa nasikia tuu! Kapandisha shetani au naona kwenye video ila mwaka huu nilishuhudia live MTU akianguka mbele yangu tena sehemu ya hatari,cha ajabu alikuwa baunsa huyoo halafu anatoa sauti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninatatizo la kukatika pumzi wakati nacheka na mwili huwa unakosa nguvu ghafla daktari kaniambia ni litakua ni kwa sababu ya mapigo ya moyo madogo. Naomba kupata ufafanuzi kutoka kwenu wataalamu...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Pole na majukum Ningependa kujulishwa nini dawa ya kigugumizi Au hhata njia ya kupunguza kisitokee sana,maana kimenisumbua kwa muda mrefu saana... Ntashkuru kwa majib yenu
0 Reactions
13 Replies
13K Views
tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd...
5 Reactions
109 Replies
21K Views
Heri ya mwaka mpya wadau, Jaman naombeni msaada nina ujauzito wa week14 nilienda kufanya ultrasound juzi mtoto wangu ameonekana akicheza yaan anaruka sio mchezo, dr akinibonyesha mahali...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari jf doctor Naomba msaada wataalamu, nimekuwa nikipitia mabadiliko ya sauti kwa sasa sauti yangu imezidi kuwa ndogo, bass linatoka ni kukoroma tu hata utoe sauti mita haivuki kusikika zaidi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HIV/AIDS ni feki kwa kuwa AIDS haisababishwi na HIV na HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS na ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana. Mara watu hukwambia "ni vigumu sana kupata HIV kwa kufanya...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Dem wangu alianza siku zake tarehe 2 mwez wa 12,akamaliza tarehe 7,siku mbili baada ya hapo nikapiga gem kavu kavu hadi mwezi umeisha,ila akawa analalamika matiti yanamuuma balaa,anachoka choka...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Aliingia breed tarehe 4 hadi tarehe nane mwezi wa 12, alipotoka karibu kila siku tunakutana kimwili bila kinga, mzunguko wake ni siku 33, manaane ovulation ilikuwa tarehe 24 mwezi uliopita, tangu...
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…