Habari za muda huu Madoctor wote popote mlipo.
Naomba kuuliza Ninatatizo lakupata maumivi wakati wa mwisho wa kumaliza kukojoa tatizo hili nila muda mrefu kwani linanitokea nakupotea. Lakini kwa...
Wadau nmekuwa nikifikiria sana namna ambavyo tunaweza shirikishana mambo mbalimbali yanayohusu familia kwa ujumla
Tunaweza shirikishana hapa suala la Ujauzito na Changamoto zake. Uzazi na...
habari waungwana;
Napenda kujulishwa kwamba kuna madhara gani ya kutoa damu mwililini pindi inapokua imezidi kiwango cha kawaida? Na kama kuna njia mbadala ya kutatua tatizo hili naomben...
Kutokana na swali la hapo juu wakuu naomba tuu! kujua kuna kitu kinaitwa undetectable viral load, Je, mtu anaetumia ARV na akawa na virusi 40copies/per mills na cd4 count 850.
Je, nirahisi kwa...
Ninaomba kujuzwa kuhusiana na fao la uzazi la PSPF.
Nina mke wangu ni mtumishi alijifungua mwezi June 2018.
Hivyo alijaza fomu stahiki kwaajili ya kupata fao hilo la uzazi. Majibu aliyopewa...
Habari zenu wapendwa.
Heri ya mwaka mpya. Takribani mwaka mmoja na nusu ndani ya ndoa lkn bado mdogo wangu hajabahatika kupata mtoto. Alienda Kairuki hospital akafanya vipimo akaambiwa mirija...
Utangulizi
Figo ni miongoni mwa viungo muhimu sana katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu. Kwa kawaida, mwili wa binadamu una figo mbili zenye maumbo yanayofanana kama yale ya...
HUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA
Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?
Kwa kawaida kila binadamu yuko kwenye kundi mojawapo la damu kati ya makundi manne A,B,AB na O...
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli...
Ndg wanajf naombeni ushauri juu ya tatizo langu, nimekuwa na mpaka sasa nasumbuliwa na tumbo yaani linauma kama tumboni kuna moto unaotoa uvuguvugu.
Naombeni msaada wenu.
Nina ndugu yangu wa damu wa kiume anatatizo la Mapumbu yake ni makubwa usawa wa ngumi yake, alipoenda Hosp kuangalia kama anatatizo la busha/matende wakamwambia hana tatizo hilo.
Tatizo ni kuwa...
Naombeni msaada wenu nimepatwa na Hili tatizo mara ya kwanza nikaenda pharmacy wakanipa malt vitamin mavidonge makubwa jumla 10 Kila siku nikawa nameza kimoja tatizo likaisha nimekaa mwezi tatizo...
Wana JF heshima mbele.
Nina rafiki yangu ana 33 years. Ni miaka miwili na nusu toka aolewe. Alipata mimba lakini ilitoka ikiwa na miezi 3. Toka hapo hajafanikiwa kupata mimba nyingine. Alishaenda...
Nimevuta sigara toka mwaka 1979 mpaka sasa.Nimefikia nimepata tatizo japo halisababishwi na sigara ila Dr amenishauri ni bora niache kwa umri huu wa 52.
Wana JF naomba msaada nitumie nini kutoa...
Habari zenu wadau, sinaga maneno naenda kwa point moja kwa moja.
Mimi mwenzenu kuna jambo linaniumiza kichwa nashindwa kuelewa, nimepitia katika mahusiano na wanawake wengi (30+) shida ni kuwa...
Habari zenu wanaJF!
Nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali...
Your body gets enough sugar from carbohydrates, ugali, rice, chapati, pasta etc. These foods are enough monosaccharides needed for metabolism.
From 1s January 2019 sugar will be a new word in my...
Mwanaume hasifiwi kula bali kazi, na kazi ya KWANZA ya mwanaume inaanzia chumbani kwake. KAMA UNA TATIZO MOJAWAPO KATI YA HAYA BASI UNAHITAJI TIBA YA KUDUMU ILI UWE MCHAPA KAZI.
Uume Kushindwa...