Wanajamii forum wenzangu naomba mnisaidie nipate kuelewa juu ya blood groups, kwamba.
(1) Mtoto anaweza kufanana blood group na wazazi wake au mtoto huzaliwa na group lake la damu tofauti na...
Habari Wakuu
Mim mwili wangu ni mwembamba sana na nashindwa hata kuvaa kaptula kutokana na miguu kuwa miembamba kupita maelezo nilianza mazoezi nina kama mwezi sasa change iko lakin ndog sana na...
Habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana.
Habar zenu wana jamvi!
Mnamo tarehe 15 mwez wa 12/18 nilipata ajal nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu...nilipata majeraha sehemu tofaut-tofaut za mwil ikiwemo usoni, hasa kweny paji la uso...
Habari njema kwa wagonjwa wa kisukari.....
Ni matarajio mtasambaza ujumbe huu naana huenda ukamsaidia muhitaji wa habari hii.
Kuna mwanamke wa miaka 65 aliekuwa na kisukari takriban miaka 20 au...
Habari wana JF,Mimi nina girlfriend wangu ameniambia kuwa yupo kwenye period(bleeding ) siku ya kumi sasa mfululizo.
Nauliza hivi hili ni tatizo LA kiafya au ni kawaida kwa baadhi ya wasichana...
Ni wanasiasa wangapi na wafanyabiashara utawaskia wakijigamba vile wanalala kwa muda mfupi?
Kukosa kulala usingizi wa kutosha husababisha madhara kwa ubongo wetu na miili yetu pia.
Matthew...
Nina mchumba wangu mjamzito wa miezi mitano anasumbuliwa sana na kiuno sijui chanzo nn coz hata kazi ngumu hafanyi yupo tu nyumbani, any msaada please?
Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado...
Leo nilikua naangalia kipindi flani katika maisha magic bongo msanii billinasi amekiri kuwa rasta alizoweka saizi kanunua kwa binadamu aliezikata
Swali je
1) kuna uwezekano wowote wa kupata...
Habari za mda huu wadau!
Haya yule wifi/shemej yenu anakaribia kunifungua Mungu ashukuriwe. Napenda kuuliza je ni hospital gani nzuri ya private kwa kujifungulia kwa hapa Dar es Salaam na gharama...
Nina ndugu yangu ni mwanamke na ni mjamzito tatizo lake vimeota vinyama ndani ya uke.
Bado hajaenda hospital kupima mimi nimeamua kuleta kwanza humu mnipe ushauri kabla ili nimwelekeze aanzie...
Poleni na majukumu wapendwa.
Kama tulivyo wengi nina kipili pili balaa.nikichana nywele kichwa kina uma. Natamani sana nifuge nywele natural ila kuchana ndo mziki.....nikikaa mda mrefu bila...
Wakuu na hilo tatizo limenianza siku kama nne zilizopita,kilitokea kitu kama kiramani kidogo kwenye ulimi chenye rangi nyekundu hivi siku ya kwanza kilikuwa kama kimevimba kidogo but kesho yake...
Jamani nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ni la muda mrefu kidogo kama miaka 4,nimetumia dawa kadhaa lakin bila mafanikio
Uume wangu misuli yake imelegea,ukisimama unakuwa hauna nguvu...
Naombaa jibu toka kwa Dr halisi na si mwanahisia au mshawishi. Je mwanaume akifunga kizazi ni jumla au anaweza kufungua? Je inaathiri nguvu za kiume? Je ni opereshen kubwa? Je kuna aina ngap za...