Habari wana JF,
Kijana wangu wa kiume wa miaka 16 alianza kulalamika anaona madudu madudu toka mwaka 2016. Tulimpeleka MNH kitengo cha magonjwa ya akili. Ikaonekana alikuwa na stress na ndo maana...
Ugumba ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata mtoto. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye...
Salaam madokta wa humu
Mke wangu kajifungua mtoto wa kiume na kesho mtoto anatimiza miezi 3 kamili
Tatizo lililopo ambalo hata wife linamtisha ni Hali ya mtoto kutapikaga maziwa aliyonyonya na...
hivi ni ugonjwa au ni kawaida kwa tumbo kua kama limejaa gesi au umeshiba muda wote hata umeze dawa za ktoa gesi hazisaidii kuna wakati unaweza fikiri ni mimba ukupima hakuna .hali hii...
Wakuu Salama ! Mke wangu amegundulika na Vimelea vya Ugonjwa wa Rubella, vinavyo sababisha kila akishika Ujauzito unatoka, hatuja bahatika kupata mtoto.
Chonde Msaada tutani.. Je atumie tiba...
Mie Nina mtoto wa miaka6 na miezi name tangu azaliwe amekuwa na matatizo ya tumbo nimempeleka hospitali tofauti lkn bado tumbo lake halijakaa sawa huwa Mara nyingi anapitiwa na haja kubwa kwa...
Za asubuhi washilika wa jukwaa hili?
Wadau naombeni msaada wenu , wadau nimekuwa natabia yakufanya mgegedo mda mrefu sana bila kufunga goli inayopelekea mwenzangu kulaumu sana kuwa amechoka...
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu...
Kwanini Asali sio nzur kwa mtoto chini ya mwaka mmoja ?.
Asali sio nzur kwa mtoto aliye chini
ya mwaka mmoja kwa sababu zifuatazo:
Asali ina spores of bacterium ambao
wanaitwa clostridium...
Ni madhara yapi kwa mimba au kwa mtoto yanayoweza kutokea kama mimba ilipatikana wakati mwanaume akiwa anaumwa maleria na yupo ndani ya dozi na akakutana na mwenza wake na kufanikiwa kumpa ujauzito?
Habari za jioni:
Mwanangu wa kike ana umri wa miezi 11 hivi:
Kwa muda sasa amekuwa na Joto kali sana kichwani sio kwenye paji la uso wala sehemu nyingine ya Mwili ni kichwani.Anaacheza na kula...
Habari zenu JF.
Kama mada iulizavyo, juzi na Jana nilifanya kazi ikanitoa jasho maeneo yote ya mwili.
Kisa ni hiki, maeneo ya makwapa yalitoka majimaji meupe yanye povu kama maziwa au sabuni...
Kwema ndugu zangu wana jf.
Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu, nina tatizo la kutokwa na damu puani mpaka sasa limechukua takribani mwezi mmoja nimejaribu kutumia dawa za dukani lakini...
Alikuwa na sukari miaka mingi na kutobiwa kcmc,walimpa masharti akayafuatilia km SI asilimia 100 bc 95,ndipo madini yt yakaisha mwilini, kurudi hospital wakamwambia ale kila kitu,ikamsaidia Lea's...