Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari Wadau Kuna ndugu yangu huwa akimshika mtoto (pakata) huwa mtoto analia sana kama vile kafinywa. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Lakini akipakatwa na mtu mwingine anatulia. Wajuzi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jmn Leo kunapage niliona tittle Ni hiyo nzuri sn wenye ugonjwa huo nchi zote wanajadiliana na kupeana ushauri.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wife ni mama kijacho wa miezi takriban mitatu sasa tumehesabu kuanzia period yake ya mwisho yaani alipoanza tarehe 18 /9/2018 mpk sasa. Hii ni mimba yake ya kwanza, ameenda leo zahanati flan...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
HYPOTENSION : Low Blood Pressure Ifahamu Presha ya kushuka Nini presha ya kushuka ? Hypotension ndio jina alinalotumika kuelezea presha ya kushuka (90/60 mm Hg) ambayo huonekana kutokuwa na...
3 Reactions
18 Replies
43K Views
Mtoto kutoka mgongo {sina uhakika kama ndo jina maalum}
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mm ninashida ya huu ugonjwa naomba msaada was mawazo na ushauri ili niweze kurelux nao maana naona Hali yangu sio nzuri.
2 Reactions
16 Replies
4K Views
MATUMIZI YA DAWA BILA USHAURI. Tabia ya kujinunulia dawa bila ushauri wa daktari, (self medication) kwa mtu asiye mtaalamu wa afya inazidi kuongezeka. Wapo watu wanajinunulia dawa kwa sababu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Madoctor naomba mnisaidie hili,mwanangu jana alikuwa anachemka nikampeleka hospital wakampima wakasem hana homa wala U.T.I nikarudi nae nyumbani,sasa leo asubh akaanza kuchemka tena nikamchukua...
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Wana bodi. Mimi ni mmoja wa wanyoaji wa ndevu kwa kutumia MAGIC naomba kufahamu madhara ya moja kwa moja au side effect zake. madhara ya muda mfupi pia ya muda mrefu. aksanteni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uume wangu kuna wakati unawasha kwa ndani yaani kwandani kidigo kutokea pale kwenye mdomo wa uume. Jinsi inavyowasha kama mgonjwa wa gono lakini sipati tabu wakati wa aja ndogo wala sitoi usaha
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiona threads humu ndani watu wakiulizia unawezaje kuhesabu siku na kujua zile siku za hatari ambazo mwanamke anaweza kushika mimba; naimba leo nitoe somo kidogo...
1 Reactions
2 Replies
17K Views
MIRACLE DRINK- CARROT, POTATO AND APPLE This MIRACLE DRINK has been circulating for a long time long long ago. It is worth your while to take note. There is a celebrity Mr. Seto who...
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin ====== Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni...
6 Reactions
926 Replies
166K Views
Nawasalimu wanajf wenzangu, Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau....... Nina maumivu makali sana ya kidole baada ya kidole gumba kidole kinachofuata. Maumivu yapo eneo baada ya kucha na joint ya kwanza basi. ni maumivu makali japo huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 30 sasa ina nina mdogo wangu waa kiume ambaye kwa sasa ana miaka kamaa 18 hivi, leo kaamua kunifungukia kuwa hana nguvu za kiume kabisa! amekuwa akiona aibu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Laptop inapokuwa ktk network ya internet halafu ukaipakata kama hapa ktk picha ujue ni hatari ktk kizazi chako
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Health checkups are designed so as to help check for any illness or disease that has gone unchecked in the body. Let’s face it, when it comes to your health, prevention is always a better option...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…