Habari za weekend wadau, Nina tatizo Kuna nyama imeota unapoishia Ulimi, ambao unasababisha maumivu makali Kooni na Kuna kipindi Koo linakuwa limekauka Sana, kifua kubana na kupumua kwa shida...
Ninaomba yeyote anayejua dawa za kiasili au za hospital zinazotibu ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume anifahamishe napata tabu sana ...kimoko chali!!!!!
Wanajamii naomba mnisaidie sababu nne au zaidi .
Kuna mwanamke tumepanga tuoane.
Sasa kabla hatujaanza michakato akapata mimba
Akaamua kutoa, kwani alinambia ingekuwa haibu kwao.
Sasa baada...
Habarini ndugu ?
Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au...
Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita...
Wiki 2 huko nyuma nikienda kukojoa mkojo ulikuwa unauma afu nikianza kojoa km usaha mwepesi mweupe unatoka nimeenda hosptl tena kubwa na ya gharama na yenye wabobez ktk afya apa twn.
Nikapima...
Habari za asubuhi wana jf wenzangu,ninahitaji msaada jamani kwani nimepta vidonda vidogodogo sehemu ya haja kubwa vinanitesa sana hasa wakati wa kutembea na kwenda msalani.
Msaada wenu jamani...
Wheezing ni ile hali ya kutoka kwa sauti flani kwenye koo wakati wa kupumua i.e kuvuta hewa ndani au kutoa nje.
Hii hali imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu sana aisee, nshajaribu kutibia mara...
Kama hapo napenda kuwek hadhalan hali hi mwenye kujua tiba ya hu ugongwa wa homa ya ini hepatis b.naitaj anisaidie.ata ushaur pia ni sawa.mana dawa za hospitalin haziponyesh ndugu zangu
TOFAUTI KUBWA KATI YA DAWA ZA ASILI NA DAWA ZA KISASA
Kulingana na Wikipedia kemikali ni kitu chochote chenye muundo kamili kikemia na kinasifa inayokitambulisha.
Hata vyanzo vingine vya taarifa...
Habari za Alasiri wana JF,naomba kufahamishwa hospitali ya gharama nafuu ambayo naweza kupata vipimo tajwa hapo juu katika mkoa wa Dar Es Salaam.
Nataka kufanya check-up hiyo kwa sababu kwa muda...
A stroke is something that can happen anywhere, at any time and gives no warning of occurring. It occurs usually because of a blood clot in the brain. People suffering from a stroke may be unable...
Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa Hospital lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman. Pia uwezo wng ni mdogo...
Kwa wadada ambao mnapitia hili
Iv nikawaida msichana kuingia kweny siku zake na kutoka vidamu kidogo sana
Nanukuu " vidamu kidogo sana kama mate" mwisho wa kunukuu
NAULIZA HII NI KAWAIDA AU...
Wana-JF kuuliza si ujinga. Kuna mada imekuwa ikizungumzwa humu kuhusu UKIMWI na hata wiki nzima hii ni msisitizo wa kupima UKIMWI.
Maswali yangu kwa wataalamu wa afya za binadamu na wanasayansi...
JINSI YA KUBORESHA MWILI
Wadada wengi wanapenda kuharibu miili yao kwa njia ya uzazi wa mpango unaombatana Na kemikali ndani yake. Mfano wa hayo ni matumizi ya sindano, kijiti (kipandikizi) n.k...
Je kuna faida ya ziada inayopatikanwa kwenye mchanganyo wa baadhi ya vyakula? Kwamfano . Hivi unapokula tende au maziwa pekeyake au ukavila kwa pamoja hali yakuwa vipo mbalimbali na ile hali ya...