Habari za asubuhi wakuu, kisa hiki ni cha kweli na kimenitokea mimi mwenyewe.
Nimekuwa na tatizo la kupata maumivu ya kawaida na ya kipindi kifupi, maumivu haya huwa nayasikia kwenye korodani...
Hili huwa linanichanganya sana akili yangu. Watoto wadogo hasa miezi miwili + mara nyingi huwa wanalia sana bila sababu. Hii hupelekea watu hasa kina mama kuamini kuwa mtoto anapolia mara kwa mara...
PUMU NI NINI?
Ni ugonjwa unaoathiri njia ya hewa kwenda/kutoka katika mapafu.
Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko-mwili sugu(chronic inflammation) katika mirija yake ya kupitishia hewa unaosababisha...
HIV Vaccine To Begin Human Trials in 2019
Hii chanjo itaanza kujaribiwa kwa binadamu kuanzia mwaka 2019 baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika kudhoofisha virusi vya UKIMWI kwa wanyama...
Mtoto wangu ana umri wa miaka miwili na ametoka vipele vya joto mwilini kiasi kwamba inabidi ashinde bila nguo na kulala bila nguo ila naona vipeleb vyenyewe haviiShi je kuna dawa yake ?
Sent...
Habari waungwana.
Naomba kuambiwa kiutalamu athari za kutokunywa maji ya kutosha mwilini kwa hakika nahisi niko na marazi siwezi ( sipendi) kunywa maji hata kidogo naweza kupitisha week bila ya...
Kumekuwa na ripoti nyingi na matukio ambayo inatokea mtu anazikwa kabla hajafa, hasa sehemu za vijijini sana ambapo hakuna madaktari au wahudumu wa afya.Kwa sheria za Tanzania, mgonjwa akifia...
Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa...
Wakuu habari za jioni naomba niwashilikishe tatizo langu na mwenye uelewa anaweza nipa ushauri.
Miez kama sita nyuma nilipatwa na kauvimbe sehemu yachini ya shingo yani kwenye shina la...
PureLife Tap Maji safi ni nini?
BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
AntiDiarr ya Kuharisha?
BF Suma AntiDiarr ni msaada wa haraka wa kupunguza kuhara,
inapunguza matatizo ya kuharisha karibu mara moja.
Faida za Afya za Kupambana na Ugonjwa wa Kuharisha
lna...
Ini ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ndicho kiungo kikubwa kilichopo ndani ya mwili. Ugonjwa wa cirrhosis ni ugonjwa wa 12 duniani kati ya magonjwa yanayosababisha vifo vitokanavyo...
Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa...
Habari wanajamii na bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Mimi huwa napenda kumshukuru kila mmoja ambaye anajali maisha ya mwingine pia kuweza kutoa elimu kwa wengine pia. Hapa napenda...
Ni mwaka wa 4, tangu nigundulike kuwa na ugonjwa huu unaoathiri ini, lakn kwa kipnd chote hko sijapata tiba ya uhakika, hicho ndo kinanipa hofu, kwani tatizo linazidi kuwa kubwa, nimeamua kutumia...
Habari waungwana.....
Ninaomba kufahamishwa juu ya ugonjwa wa Seli mindu (sikle cell) hasa dalili na matibabu yake.
Nb: Kama kuna link pia ni vyema kunijuza!
Nawasilisha.
Habari wadau,
Natumai wazima wa afya...
Binafsi nime develop a hobby ya mazoezi...ila appetite yangu ni ya kawaida mno plus natamani ku gain weight wastani...
Sasa kwenye pita pita nimekutana na...