Mwenzenu tangu nianze jogging nakimbia Kilomita takibani kumi kila wiki na push-up 200 kila siku.
Cha ajabu kilo badala zipungue ndo zinazidi; sielewi nakosea wapi. Situmii supu, bia wala soda na...
kuna watu wamekuwa wakihangaika kwa waganga wa tiba asilia na wengine mahospitalini kutafuta dawa za kubadili maumbile yao kuwa shababi bila mafanikio........wengi wao wameishiwa kutapeliwa na...
Habari
Nasumbuliwa na maumivu kwenye magoti nikichuchumaa nasikia maumivu nikinyanyuka napo maumivu lilianza goti LA mguu wa kushoto saivi ni miguu yote sijui ni nini hiki cjui nfanyaje
Ushaur plz.
habari wapendwa
nina tatizo la ugonjwa wa manjano, kwenye ngozi na macho. last time niliambiwa nile sana miwa nitapona lakini wapi
kwa sababu nilikua sina maumiv nilichelewa kwenda hospital
j3...
............Mwenzenu Mungu amenishushia baraka za ujauzito, lakini imenivunja nguvu sana. Yaani muda wote naishiwa nguvu na njaa kuuma kila wakati. Kila baada ya nusu saa nahisi njaa kali...
Je ni sahihi kufanya mapenzi sana kunasaidia kupunguza hatari ya kupata prostrate cancer kwa wanaume. Kwa kweli hii ikithibitika wanawake watapata raha sana.......................................
Habari wana jamvi,
Nikiingia kwenye mada, moja ya sababu kuu za ugonjwa wa figo ni kutokunywa maji. Kwa mazingira haya tunayoishi nadhani kila mtu ni shahidi kwamaba wanawake hawapendi sana kunywa...
Waungwana naomba msaada,
Mtoto wa miezi 4 kitovu chake bado hakijarudi ndani vizuri. Je, hii ni sawa na kama sio sawa ninaweza kufanya nini ili kiweze kurudi?
Wadau, wataalam
Nini chanzo za kutokupata hedhi ili hali mtu sio mjamzito?
aliwahi kuambiwa ana hormonal imbalance akatumia dawa hedhi zikarudi na kukata yapata kama miez 5 hivi.
dada ana miaka...
Habari za hapa ndani wakuu,nimepatwa na tatizo na ni muda mrefu sasa tangu nasumbuliwa na hii kitu.ni kwamba uume wangu,,yaani mboo inasinyaa sana inarudi ndani mno kinabakia kichwa tuu.nimeoa...
Habari wana JF.
Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi.
Madaktari...
Kuna hizi pedi zina ubaridi ubaridi flani hivi, ukivaa nyeti zinakua kama zinapulizwa, kama zinavutwa, kama zimepakwa pipi kali....
Hivi kiafya hazina madhara kweli? Moja wapo ni hii HQ
Karibuni wote katika uzi huu. Hapa nitakuwa natuma matibabu mbalimbali (tibalishe) kila ijumaa mchana. Hivyo kama unasumbuliwa na mahonjwa usiyoyaelewa basi usisite kutembelea uzi huu kila upatapo...
Mimi kijana mtanashati nina miaka 23 sasa hvi ila nina tatizo limeanza lina km siku tano au sita meno yangu yanapata ganzi hata nikipulizwa na a.c tu ya ofisin napatwa na ganzi hata juice ya...
Salaam
Haya in baadhi ya magonjwa ya afya ya akili yanaweza kumsababishia MTU madhara makubwa na hata kifo
Je ni mbinu zipi MTU anaweza kuzitumia ili kukabiliana na tatizo LA afya ya akili
Sam...
Wakuu natumaini mu wasima...niwape pole sana ndugu zangu waliopotelewa na jamaa zao katika ajali ya MV Nyerere poleni sana mungu awajalie nguvu ya uvumilivu katika kipindi ichi kigumu.
Bila...
TATIZO LA USINGIZI NI SHIDA KWANGU
Moja kwa moja kwenye point,
Nimekuja kwenu wadau ili nipate maneno na ushauri wenu juu ya hili tatizo langu la kusinzia mbalo sahz naona linanipeleka kubaya...
Wanaamvi habari za wikiendi,Nimejaaliwa kupata mtoto wa kiume miezi 2 na wiki 1 iliyopita,mtoto alizaliwa salama kabisa lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na anavyo