Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini?
Limekua...
Wakuu , Katika kupekua pekua kwangu nimekikuta kitabu hiki mahali fulani.
Nikaona nijaribu kuwaletea wanajamii forums , huenda kitakusaidia kwa namna fulani .
Na kwa yeyote mwenye kitabu...
Ndugu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo husika lililonileta kwenu.
Ni kwamba mwanzoni mwa mwaka Jana kuna ndugu yangu aliungua ugonjwa wa uti wa mgongo tukampeleka hosipitali...
habarini za jioni!
naomba ufafanuzi wa matumizi ya dawa za neurobine na multivitamins kwa mtu mzima na mama anayenyonyesha. prescriptions za daktari zimenichanganya mana aliniambia aliconiambia...
msaada wa kuku hivi kama unafuga kuku wa kienyeji halafu wakawa wagonjwa wanadalili za kufa maana wanatetemeka wanashindwa kutembea ukiwachinja uwale huwezi kupata magonjwa yao
Naomba ushauri na msaada unaohusiana na tatizo hilo.
Dalili nyingi nilizozisikia ninazo.
Tatizo la nguvu za kiume, Ganzi, kichefuchefu cha mara kwa mara, Miguu kuuma, Viungo kuuma, Mwili kuwa na...
Watanzania wengi sana wanaumwa ugonjwa wa kisukari.
Ikumbukwe tu kuwa, watu wanapopata msongo wa mawazo / frustrations / stress ama matatizo makubwa sana ya kimawazo, humsababishia kuwaza kwa...
kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono...
Habari Doctor na JF wote.
Naomba kuuliza kama kuna aina ya vyakula ninavyoweza kula ili kupunguza Blood Pressure kwa haraka.
Nimetumia Dawa kwa kipindi cha miezi michache na BP imeshuka toka...
Habari zenu wana Jf
Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni...
Nilisoma na kufikiria sisi wapikia kuni kila siku. Mwisho uzeeni tunachomwa moto kwa kuitwa wachawi
The Dangers Smoke Poses to Your Eyes
If you live in California, then you are probably...
VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA HARAKA KWA MWANAMKE
Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya...
Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa...
Msaada
Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike
Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume
tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga...
~~~~~~~BENEFITS OF EATING EGGS~~~~~~~~~~
1. Clean,healthy and convenient.
2. High in amino acids.
3. High in good fats.
4. Promote healthy hair and nails due to good fats and minerals.
5...