habari za mda huu wadau,
earlier nilikuja na uzi wa wife kutapika sana na kuchoka na kulala mda mwingi katika kipindi hichi cha mwanzo wa mimba (first trimister),nashukuru Mungu kwa sasa hajambo...
Katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu wadada wawili wakiwa wanazungumza mmoja akiwa mjamzito akisema eti Sikh zake za kujifungua zimepita eta wiki moja yupo kwenye mawazo kwelikweli
Nani...
Natumai mko poa wote mentally and physically kinyume na hapo napenda kutoa pole..
Kama kichwa cha habari juu hapo kinavoulza...??
Tunaelewa katika hatua za mtu kupata HIV/AIDS kuna kpnd kifupi...
Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.
Nashukuru sana daktari.
Habari zenu,
Kuna huu ugonjwa unanisumbua, matiti yanawasha na mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu.
Nimeenda Ocean Road wamesema ni magonjwa ya ngozi, watu wananiambia huu ugonjwa unaitwa kiguma...
.
1.dopamine
Hiki ni kichocheo kinachozalishwa na mwili na kutokana na matendo fulani au vitu fulani vinavyoupatia mwili raha au zawadi, mfumo wa ubongo unaohusuka na kutengenezwa kwa dopamine...
Habari ndugu zangu watanzania.
leo hii nimekuja na makala haya yanayozungumzia wasiwasi na jinsi gani tunaweza kuepukana na tatizo hili.Kwanza kabla ya yote ni kujua ni nini wasiwasi.
Vijana...
Mdomo sungura ni nini?
Mdomo sungura (cleft lip and palate) ni aina ya ulemavu unaosababishwa na sehemu ya uso na mdomo kushindwa kufungwa mtoto anapokuwa akitengenezwa akiwa tumboni. Tatizo la...
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.
Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji...
Salaam kwa wote wana jamvi.Naombe niende kwenye maada.Naomba msaada mwanangu ameungua na chai,nini dawa nzuri ya kienyeji na kisasa,nimepeleka hosptali amesha pewa huduma ya kwanza.Msada wenu ni...
kuumwa kichwa upande mmoja hasa komwe jicho moja likatoa machozi lenyeww pua moja ikatoa mafua yenyewe kisogo na sikio moja kuuma lenyewe hii inasababishwa na nini? yaani hivo nilivo vitaja huuwa...
Habari za mda huu wana jf doctor
niende kwenye mada ni kwamba nina mtoto wa kike wa mwaka mmoja na mwezi mmoja
tatizo mtoto hataki kula,tumemjaribu kila aina ya chakula,ila ukimrisha...
*Trained community health workers working with Thamini Uhai (Value Life) campaign to promote the benefits of family planning*
(16 June 2015, Dar es Salaam and New York) – A news conference...
Nimekuwa nikisikia kuwa mtu akifanyiwa upasuaji na kuondolewa bandama mtu anakuwa hawezi kucheka.
Je ni kweli huwa hivyo? Na nini kinasababisha kuwa hivyo?.
Wataalamu; naombeni mnielimishe juu...
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida.
Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida.
Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
Ndugu wanajf naombeni ushauri coz kama mwezi wa 7 hivi nilikuwa na arosto +pombe nilijikuta nimelala na mwanamke nisiye mjua naombeni mniambie kwa kupiga bao moja na weza pata ukimwi? Na je dalili...