Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Sababu ya Moyo Kupanuka Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini. Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na...
3 Reactions
2 Replies
10K Views
Ni nasumbuliwa na mgongo, ni mda sasa naomba msaada wa dawa au hospital gani nzuri kwa matatizo haya, cwez kulala bila kukanyagwa mgongo nikichua inapunguza maumivu kwa mda tu. NAWASILISHA
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Massage inaboresha afya ya ngozi. 2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri. 3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili. 4. Massage Inaondoa kovu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna Vinyama vidogo laini huota sehemu mbalimbali za mwili ...tungozi tudogo tudogo na zingine huwa huwa Virefu kiasi...havileti maumivu bali huharibu mwonekano WA sura.....vidudu hivi dawa yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako Anapapasapapasa ' Makalio ' yako Anachezea...
24 Reactions
168 Replies
20K Views
Habari wana JF Kama nilivyoanza mwanangu anaumwa ugonjwa wa ngozi ni mwezi sasa. Mwanzoni alianza kwa kujikuna kadri siku zilivyozidi kusonga ngozi ilikuwa inabadirika kutokana na kujikuna...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nini nifanye ili niache kupiga punyeto but tayari nina mpenzi na huu ni mwaka wa tatu nipo naye kwenye mahusiano Ila bado napiga punyeto na kumfikisha kileleni namfikisha vizuri sana
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Nina tatizo la kusikia au kusoma tofauti na maana halisi mfano kusoma neno kuoana naeza kusoma kuelewana Na pia katika kusikia ni hivo hivo ubongo wangu unatafsiri maneno tofauti na uhalisia iwe...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Closed.
1 Reactions
21 Replies
4K Views
wakuu habari, naandika hii thread nikiwa kitandani siku ya tatu, nlienda hospitali kupima wakaniambia nina U.T.I nimetumia dawa za Cpro....(sijui jina lake vizuri) lakini hazikuniletea mabadiliko...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kupima afya kwa kupima magonjwa mbali mbali. Naomba mwenye uelewa wa hospital gani nzur na iko wapi naweza kupima kwa kutumia bima ya afya NHIF. Taratibu zake ziko vipi?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wana jukwaa, kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu kuwa uwezekano wa kupatikana kwa mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi ya 17 toka mwanamke anapokuwa ameingia hedhi. Je kuna uwezekano wowote wa...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele. 2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo. 3. Katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ndugu wapendwa....... Naombeni msaada wenu kila nikila baadhi ya vyakula napata kiungulia kikali ambacho kunanitesa week nzima. Kwa mfano nikila viazi vitamu nashikwa na kiungulia...
1 Reactions
18 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mke wangu ni mjamzito anasumbuliwa na kiungulia sana.Yaani chochote anachokula anatapika naombeni ushauri au Tiba ya kumsaidia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nahitaji kufahamu kwanin hz madawa wanayatengeneza za aina mbili ila zina kaz moja mfano malafin na mseto,,zote ni za malaria ila moja wanadai ina salfa na nyingne haina,,je kati ya dawa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…