Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wadau, Wadau naomba kuuliza kuhusu dawa aina ya Ciprofloxacin. Inatibu magonjwa yapi? Nashukuru.
1 Reactions
8 Replies
59K Views
Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello!!! Ndugu zangu mimi nilishafikria nkatafakari saaana kuhusu suala la mwanaume kuwa na matiti ni ipi? Yana kazi gani kwanini tulipewa!?! Natambua kuwa hakuna kiungo ktk mwil wa binadamu...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Wapendwa wanaJF, naomba msaada wenu wadhati nimesumbuliwa Kwa muda mrefu sana natatizo la kichwa kupitia mishipa ya macho,imenibidi niahirishe masomo chuo kikuu,,hua inasumbua haswa naposoma au...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza mtu anawezaje kupata strock na zipi ni dalili za mtu kupata strock??
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kaswende ni ugonjwa unaoambukiza haraka sana, mara nyingi kwa kufanya ngono. Ugonjwa huu huenezwa kwa kugusa moja kwa moja mchubuko wa kaswende (syphilitic sore) uliopo kwenye ngozi, au kwenye...
2 Reactions
6 Replies
9K Views
Habari JF Dr. Nna dada mmoja rafiki angu ana tatizo la homoni inbalance kama sijakosea inavyo tamakwa ameenda hospitali nyingi lakn tatzo akipima lipo pale pale... Anaomba ushauri mbadala maana na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba ushauri nn kinasababisha mtoto wa miezi mitano kukosa choo kwa muda mrefu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ndy Daresalama ya sasa
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Msaada Natafuta hii dawa inaitwa diclor ,nimeitfuta pharmacy zote apa arusha sijaipata
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu wadau kwa mara nyingine nakuja kuomba ushauli toka kwenu . Hivi nitajuaje kama mimba ninayoambiwa na mpz wangu ni yangu kwa sababu kuna kitoto nimetoka kumgonga hata week haijaisha...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Ni miaka kadhaa sasa vipele vimekuwa vikiniandamana mno,kikitumbuka tu kinatokea kidonda ambacho hata kikipona ni kama kinahamia sehemu nyingine,kama kilikuwa kichwani kikipona tu kipele kingine...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Naomba msaada wako Dr. Nina tatizo la miaka mitano sasa, nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kinywa yaani Kuna mda juu ya kinywa kunatoka alama nyekundu za mviringo zinauma sana, pia chini ya ulimi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba kujuzwa ,mimba kutoka zaidi ya mara moja ikiwa na miezi3-4 Je tatzo ni nini wajuzi msaada wenu Tafadhali
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Habali zenu wadau ... Naombeni msaada mimi huwa naisi mtikisiko mwilini mda mwingine tumboni kwenyekigimbi ,mikononi na niakapo asubuhi misuli inaniuma sana na inakuwa ya kijani ila baadae...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Athari za Maumivu Makali ya Mgongo Watu wengi huchukulia Tatizo La Maumivu Ya Mgongo kama jambo la kawaida na hawafahamu kuwa linaweza kupelekea matatizo makubwa katika mwili. Tatizo la mgongo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam. Mrs. wangu ametumia Dozi ya Azethromyzin vidonge 30 (2x3). Ni kwa ajili ya fungus na kutoa uchafu mweupe unaomtoka. Sasa tangu ameanza imeonesha matumaini fulani lakini aliambiwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele. 2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo. 3. Katika...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je, ulishawahi kushauliwa kumkaba mtoto wakati anapogoma kula?. Je, mwanao anatabia ya kubagua chakula, mfano, Ugali?. Haya ni baadhi ya mambo yanayowachanganya wazazi wengi hata kushindwa kufanya...
2 Reactions
5 Replies
14K Views
Wakuu nimepata mapele makubwa kwenye uume na mapaja na eneo la mavuzi jamani kwa mtu anaye jua dawa ya kuondoa naomba tu aniambie nimetumia dawa bado hali ni tete
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…