Kila mara naona matangazo yanatolewa kufanya kampeni ya kuchunguza kansa ya shingo ya kizazi na ya matiti kwa wanawake, lakini sijasikia tangazo la kampeni yoyote kusaidia wanaume kuchunguza kansa...
Hivi mfano umesex kwa bao moja na ukatolewa bikra, halafu ukakaa baada ya miake minne hujasex; Je, ukisex tena damu zinatoka au unaweza kuwa bado bikra?
Hope wote mu wazima.
Mi ni mdada wa miaka 26, miezi minne nyuma kabla cjapata ujauzito nilipata tatizo kuishiwa damu nilizunguka hospital nyingi hadi regency wakasema sina tatizo, nikawa...
KWA NINI SI VYEMA KUANZIA DUKA LA DAWA (PHARMACY) PINDI UNAPOUGUA
Neno Pharmacy linaelezwa katika kamusi ya mtandaoni ya Merriam Webster likiwa na maana mbili (tafsiri imefanywa na mimi...
Jamani nisaidieni mwenzenu yani kuna mda naumwa kichwa mpaka nahisi navurugwa na ukizingatia nimeenda hospital nimepima vipimo vingi hakuna ugonjwa mpaka kuna kipindi nikahisi may be nimeukwaa...
Nimekuwa nikishuudia mara nyingi sana, wanawake wengi ambao wamejifungua kujikuta wanakuwa na matumbo makubwa hadi kubadili mwonekano wao.
Aidha, wengi wamekuwa wakijikuta wakikubaliana na hali...
Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida.
Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin ambayo ni...
Habari wana Jf..naomba kufahamishwa ni hospitali gani nyingine naweza kupata urologist ukiacha Prof.Yongolo wa Tumaini hospital ambae nimejulishwa kuwa amesafiri na atakuwepo tena kuanzia tarehe 5...
Kama mjuavyo binadamu anatumia muda wa zaidi ya robo tatu ya maisha yake yote kulala, mimi binafsi nimekuwa nikilala kwa shida nikiamka maumivu ya mgongo, shingo na uchovu, stress nimeona shida ni...
kuna ndugu yangu amegundulika na saratani ya tezi dume,daktari anamwambia tiba ni kutoa korodani sasa mgonjwa ana wasiwasi na tiba hii kwani hana dalili kubwa zaidi ya kupata mkojo kwa shida,je ni...
Wengine wanasema unaweza kua nayo lakini bado unajihisi mzima lakini utendaji wako wa ubongo unapungua kila siku,naombeni ufafanuzi kwa mwenye ufahamu juu ya magonjwa haya.
Habari wadau wana jf.
Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra...
Habari....
Wakuu tuelekezane mazoezi anayopaswa kufanya mjamzito.
Kwa mwezi wa 1- 3 ni yapi?
Kwa mwezi wa 4-6 ni yapi?
Kwa mwezi wa 7- 9 ni yapi?
Itapendeza kwa picha zaidi
Karibuni...
Habari wana jukwaa bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada mara nyingi niamshwapo ninapokuwa katika usingizi mkali huwa naongea maneno ya ajabu tena tofauti na maswali au shida ambayo...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili umethibitisha nyama ya pweza (supu ya pweza) inasaidia kuongeza hamu na nguvu ya kufanya tendo la ndoa.
Madini ya Zinc...
Vitamin C supplements tied to men's kidney stones:
(Reuters Health) - Men who take vitamin C supplements are at higher-than-average risk of developing kidney stones, a new study from Sweden...