Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za majukumu wakuu, kwa wale wataalam wa afya. Je ni kawaida kwa mwanamke kuwa na damu inayoteleza wakati anapoanza siku zake ( menstruation cyle)? Tafadhali naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu yani nateseka kweli nimejaribu kila namna nimeshindwa nahitaji mawazo ushauri na msaada wenu nimejaribu kukohoa sana tu havitoki nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Je, mtu akichomwa na mwiba uliosababisha deep cut ni vyema akaenda kuchoma sindano ya tetenus au ina apply kwenye misumari tu na vitu vya ncha vyenye kutu kutu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salama! Jana kwa bahati mby nmegegeda askari flani iv sasa simwamini kivile nahisi kaungua nmepga viwili tu nmemwambia kupima ety ananiambia kila mwez wanapima ila hta sasa Ypo Tayar jaman...
0 Reactions
4 Replies
666 Views
Habarini za kazi poleni na miangaiko ya maisha! Naombe msaada kama kunauwezekano wa kusafisha macho yakawa meupe kama watu au kama kuna dawa nijulisheni
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Wakuu heri za sikukuu, Naomba msaada===> Watoto wadogo kichwani uwa wanasehemu ambayo uwa inabonyea ukiangalia wakati amekatwa nywele ni kama vile ina tweet - yaani kama inapumua vile ama kitu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaojiita wataalamu wanaotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na pia yameibuka madawa kadha wa kadha ambapo vijana wengi wameishia kutapeliwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimekuwa nikipata shida ya usingizi (insomnia) kwa muda mrefu sasa. Jana nimekunywa Juice ya nanasi usiku saa nne nikajikuta ghafla naanza kusinzia baada ya muda kidogo kupita. Kwakweli haijawahi...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimesoma mahali kwenye mtandao wakiongelea juu ya kufanya masterbation bila kupiga bao je kuna anayejua madhara au faida zake
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Hivi karibuni kuna maumivu nayahisi ubavuni chini ya mbavu panda zote mbili za tumbo. Mara nyingi nayahisi maumivu hayo usiku. nimelala au asubuhi hasa kama jana yake nilikunywa pombe hata kama...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Wapendwa ktk mwenyezi,nawasalimu. Nawasihi tusichoke kusaidiana.naomba msaada kwa anayejua dawa ya herpes simplex virus atusaidie,hata kama ni ya jadi.poleni kwa usumbufu
0 Reactions
17 Replies
21K Views
Habari za asubuhi wakuu naomba ushauri kipimo gani nikapime kinaweza nipa majibu mazuri kujua kilicho ndani ya tumbo langu kinachonitesa,nishapima choo mara kibao sio afadhari
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Yupo wapi Doctor Shika niliipenda sana filamu yake nifupi yenye mashiko, tafadhali nielezeni alipo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bwana yesu asifiwe na wale wengine asalaam aleykum. Kila mtu hazuiliwi nini aamini kwa wakati gani na kwanini. Wapo watu wanaamini yesu atosha hata akiugua hawezi kunywa dawa yoyote anaamini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii ni kwa wanaume...Inawezekana mtu kupoteza hisia na kushindwa kufika kileleni akiwa anafanya mapenzi ? Na kama ni kweli kuna tiba yeyote inayojulikana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza jamani, mtoto mchanga anaanza kuota nyusi baada ya muda gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wataalam wa Afya. Naomba kusaidiwa hili tatizo,mke wangu alijifungua toka mwezi wa 10 mwanzoni,cha kushangaza damu ilikata halafu ikarudi tena kubleed. Damu inatoka kila akifanya kazi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawasalim wana JF. Mimi ni kijana wa miaka 20,nina tatizo moja. Lips zangu(midomo) ni nyeusi hivyo naombeni msaada wa kuzifanya kuwa na mwonekano mzuri na laini tafadhali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa upasuaji wa pyloric stenosis tubadilishane uzoefu wa malezi baada ya upasuaji!
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…