Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).
Sasa je, ni salama...
Samahani nipo Dar, i have a friend who ana tatizo la depression, i need a professional help to cure my friend, can any doctor specialized in that please help?
Ukwaju ni tunda linalofahamika na asilimia kubwa ya watu duniani ambapo hulitumia kwa kula ama kutengeneza juisi. Tunda hili linalotokana na mti wa mkwaju ambao huota porini na unapatikana katika...
Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa...
Hii ni kama mara ya tano sasa kila ninapojiskia malaria madaktari hunishauri kutumia dawa ya malaria ya mseto,ila cha ajabu kila ninapomeza dawa hii ya mseto hamu ya kufanya mapenzi huwa ipo juu...
Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua...
Habar zenu jaman
Moja kwa moja naomba niende kwenye tatizo lenyewe, Nimekua nkisumbuliwa na titizo la mwili kuwasha na hili hutokea mara nitembeapo kwa miguu kaumbal flani na huanza gafla na...
Wakuu nina hoja fulani muhimu,
Serikali ifikirie kutoza faini kwa yeyote atakayekwenda hospitali akagundulika ana ugonjwa/magonjwa ya zinaa. Hii itasaidia kupunguza magonjwa hayo kwani watu...
habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo...
Wana JF karibuni kwa mjadala huu
Napenda kujua kama watoto wachanga wawapo tumboni kwa mama zao {kabla ya kuzaliwa} wanaweza kuugua {ugonjwa wa aina yeyote}?
Na kama huwa wanaugua nini...
Watanzania wengi hupendelea kunywa maji au soda baridi wakati wa kula au muda mfupi baada ya kula chakula
Wataalamu wa masuala ya afya wanaeleza kuwa ni hatari kunywa maji ya baridi wakati na...
Habari the great thinkers
Nina mpenz wangu,hayupo period ila kila tukifanya mapenzi damu zinamtoka,je yaweza kua sababu ni nini??hii hali ina kama mwezi sasa hata yeye hajui chanzo chake ni...
Habari wana jukwaa.moja kwa zote twende kwenye mada fizi zangu zinaniuma balaa hasa nikila kitu cha moto nn tatizo waungwana na nitumie dawa gani msaada vijembe nope
Why you should go get that pap smear urgently
By Trizah Mwanyika
13th May 2009emailPrintCommentsAccording to statistics from the World Health Organisation, women from East Africa are the most...