Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za humu mabibi na mwabwana!!Ni muda mrefu nina tatizo la kichwa!!Nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele kuna hali isiyokuwa ya kawaida naisikia kichwani mwangu!!'Kelele za magari' !Kichwa...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
Bwana Yesu asifiwe sana wapendwa. Naomba kufahamishwa ukweli wa hili. Hivi ni kweli mama mjamzito hupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa? Kama ni kweli sababu zake ni zipi? Je kuna madhara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna aina mbili za Stroke/kiharusi. Ischaemic Stroke...hii hutokana na damu kuvia/kuganda kweye mishipa inayopeleka damu kwenye Ubongo/formation of clots Haemorrhagic stroke...hii hutokana na...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Sijui huwa nina shida gani yaani jua likiwaka ni kama huwa linaenda kuwasha papuchi linaniletea msisimuko wa mwili vibaya mno ni ugonjwa ama ni nini jamani kipindi cha jua saa nane hadi kumi na...
12 Reactions
111 Replies
17K Views
Habari enyi wana jf Kuna rafiki yangu ambaye ni kijana (ME) mwenye umri wa above 25 age, huwa ikitokea kapatwa na homa mara nyingi pia lazima maeneo ya tumbo huwa anahis kama kuna uzito flani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
simple 1.usilale mchana 2.usile vitu vizito saa moja kabla ya kulala 3.dakika 5 kabla ya kulala gugumia glass 2 za maji enjoy you sleep hii imeniponya kabisa NB:mwili hutii sayansi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje Ahsante
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan Naomben msaada wenu wa...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Shikamoni wakubwa, Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wasalaam ndugu, Naamini niko na afya njema kabisa. Ngoja nianze hivi, ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabisa mwilini. Mwanzo niliona kawaida ila...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Wadau. Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jigiasis/funza ni ugonjwa unaotoka na mdudu Funza pale anapoingia kwenye maeneo ya mwili wa binadamu hasa miguuni asilimia kubwa hutokan na mazingira ya vumbi na pia uchafu. Dalili zake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naombeni kuuliza kwanini mwanamke akiwa siku zake anaharisha?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama heading inavojieleza, mwenza wangu alianza Mp tarehe 20/11/2017 alfajiri sasa nahitaji nizae mtoto wa kiume. Kiufupi tangu atoke mp natumia kondom kama contraceptive method. Wataalam...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu ni muda sasa kama miaka miwili natokwa mkojo wa njano nikitumia maji mengi hali hiyo hupotea na pindi naporudia kupinga punyeto hali hiyo hujirudia Maswal (1) ni nini madhara ya...
2 Reactions
67 Replies
15K Views
Ngiri nyingine ni ya Mshipa wa Kushuka ni hii hapa Mabusha kwa lugha ya kiswahilBusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka...
1 Reactions
12 Replies
32K Views
Wapendwa habari zenu. Tafadhali naomba mnisaidie kupata Dawa ya meno aina ya Close Up hii ni dawa ya meno ambayo nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sana hadi sasa hata hivyo upatikanaji wake kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari vijana. Leo nakuja na mada nyengine inayovutia ambayo tutazungumza kuhusu JINAMIZI . Watu wengi wanaamini ya kwamba jinamizi ni jini ama mzimu usionekana unaosumbua watu wakati wapo katika...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…