Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakubwa, eti ndani ya East Africa hii, ni hospitali gani inayotoa Huduma ya operation ya goti especially "knee replacement".. Msaada tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
713 Views
Aman iwe nanyi wapendwa, Naombeni msaada wenu kwa hali na mali juu ya hali yangu Kwanini kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke mbavu huuma sana hasa yanapopita masaa 24. Jana niligegeda...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Faida za Massage katika Mifupa Massage ina faida nyingi katika kuboresha afya ya mifupa. Mifupa ni tishu muhimu sana katika miili yetu, kwani mifupa huunda kiunzi ambacho:- i. Huupa mwili umbo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nataka kujua hivi matibabu ya kisaikolojia yanamchumkua muda gani muathirika kupona?. Je yanaweza kutumia miezi 3??? Psychological problem can lapse for 3 weeks only, why some are taking too long??
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habari za mchana? Natumaini mko sawa na mishe kama kawa zinasogea. Nimebahatika kupata mwanamke mzuri ambae mpaka ninapoandika uzi huu ni mjamzito na mungu akijaalia mwezi ujao tunatarajia...
2 Reactions
35 Replies
28K Views
Naomba kufahamishwa ipi hospitali nzuri kwa masuala ya wanawake hapa Dar. Hasa kwa suala la kutopata mimba. Natanguliza shukran.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo...
1 Reactions
99 Replies
16K Views
FF. Doctors heshima kwenu, Mimi ninasumbuliwa na matatizo ya maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo. Nimekuwa nikisumbuliwa na hii shida kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu na hapa...
1 Reactions
8 Replies
19K Views
Habari zenu wote... Niende direct kwenye mada kuna mtu namfahamu amepat shida ya figo, imepelelekea mpaka kua anasafishwa kila wiki hospitali. Kinachonifanya niulize humu ni sababu aliyonipa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha. Unapoamka katikati ya usiku kwenda...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anafahamu tatizo linaweza kuwa nini anijulishe. Toka Alhamisi naona mashine haisimami nilidhani labda ni reaction ya dawa lakini sijawahi pata reaction kama hiyo, ukichukilia mpaka...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba kuelimishwa njia nzuri ya kufuatilitia kiasi cha sukari ndani ya mwili.je unapima sukari baada ya kumeza dawa?au unapima kabla.?na je ni kipimo kipi kinakupa uhakika wa jinsi sukari yako...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Mapendo jamani.... Amina. Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala. Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Kiukweli hili jambo lanichanganya sana. Mtu waweza pata magonjwa ya zinaa kama kaswende na mengineyo hata kama hujafanya ngono? Hii ni mara ya pili napimwa naambiwa nina magonjwa ya zinaa hali...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Natumaini humu jukwaan tuna madaktari wazuri na hata watu wengine waliokwisha kutana na tatizo kama langu mwanangu ana miezi 7 sasa, akicheka sana anapatwa na kwikwi. Mpaka nimeacha kumchekesha...
1 Reactions
5 Replies
944 Views
Habari wana jf doctor! Et mwanamke kutokwa na ute ukeni unaofanana na povu la sabuni ni kawaida au tatizo?
0 Reactions
38 Replies
12K Views
wakuu, wapi naweza kupata cupping therapy kwa dar es salaam?
1 Reactions
10 Replies
15K Views
Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress) Hufanya kwa Mwili Wako: Ni hatari kwa afya ya moyo! Kila kipindi ambacho mtu anakuwa na mkazo, homoni ya adrenalini hutokezwa ambayo huongeza mapigo ya moyo na...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi hajielewi elewi sasa wenye maujuzi ya dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana. Msaada wa tatizo hilo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…