Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kwanza kabisa nitangulize Shukrani zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa JamiiForums na hasa Moderators wake kwa ' kuninyoosha ' kwa kunipiga BAN ya ' Kutukuka ' ya siku Gwala / Tano ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina mgonjwa wangu ambaye juzijuzi ndiyo imegundulika kuwa ana Upungufu wa Kinga pia Ana TB.Hospital ya kwanza waligundua kuwa ana Upungufu wa Kinga Na wakamuanzishia dawa katika Clinic yao.Baada...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna binti ameoza sugu ya nje ya upande wa kulia wa miguu. Na mguu mwingine ni kama ana lengelenge. Nini chanzo na tiba xa haya matatizo ni fungus au?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada wenu tafadhali, nina vipele flan vidogo vinauma sana haviwash ila km vna usah kwa ndan na kama vina kidog cheus kidogo katkat(chek kwa attachment)... Vinajitokeza sana sehem za mapajani(kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali ulaji Samaki aina ya Sato kwa wingi unaongeza uwezo wa brain kufanya kazi. Aidha hata mama mjamzito akitumia samaki hao kwa wingi hasa vichwa vyake kabla na...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Hivi kwa nini wanawake wakiwa wajawazito huwa wakorofi sana. Maana uvumilivu inaweza shindikana. Wanaume nipeni nasaha mlivumiliaje masumbufu hayo maana sio kwa vitimbi hivi Unaweza hama nyumba
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Habari wanajukwaa Kuna bwana kaomba nimuulizie swali hapa ndani, issue ipo hivi jamaa kashiriki mapenzi na mtu wake siku ya jumapili tarehe 11.11.2017 na leo tarehe 22.11.2017 kaletewa taarifa ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
habari wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kuwepo makohoz kohoni najaribu kuyatoa kupitia kinywa na pua ila inashindikana msaada tafadhari
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu...naombeni msaada huyu dogo kaenda hospital lakn dawa alizopewa hazijamsaidia hali bado inaongezeka kwa kas...msaada tafadhari
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani wako watu wanaodhani makamasi ni kitu kibaya na kichafu kiasi cha kujisikia kinyaa. Kamasi (mucus) linapatikana puani kwenye mfumo wa hewa. Hata kohozi ni kamasi pia la kooni. Pua na koo...
4 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
2 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari wana Jf, leo mida ya saa kumi jioni nipata home kali, baridi kali na joto la mwili kupanda. Nikarudi nyumbani kupumzika lakini hali ilizidi kuwa mbaya nikalala kidogo. Baada ya muda ile...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofahamu vyuo vizuri vya binafsi vya afya vinavyotoa coz ya upgrading ya clinical assistant to clinical officer ambavyo pia vina hospitali kabisa kubwa mfano . mvumi cots, au nkinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, naomba mwenye huelewa kuhusu ugonjwa huu wa u.t.i, hasa kwa watoto wadogo ambao hawatumii wala kuchangia choo na watu wazima.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu wanajamvi Naomba kujua chanzo cha kupata mvi kwa kijana (25-30 years) na pia jinsi gani ya kuondokana na tatizo hili Naomba kuwasilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ee Wadau habari zenu! naomba kuuliza kwa wanawake wenzangu na wataalamu, wakuu humu ndani, yapi madhara mwanamke mjamzito anaweza kupata kama atakaa katika kipindi chote (yaani miezi tisa) kama...
3 Reactions
54 Replies
30K Views
Habari wana Jf Mimi ni kijana wa miaka 27. Nimepata tatizo la kutokwa nywele kichwani. Yani nikiosha nywele zinatoka nyingi halafu nabaki na kipara. Nimefatilia nikajua hili tatizo linaitwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni ugonjwa ambao pia huambukiza binadamu na mifugo,mbaya zaidi kwa wanyama na ngombe hasa wakati wa uzazi.maambukizi hutokana na binadamu au mnyama kugusa ,kula masalia ambayo yanatoka kwa...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…