Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu nina tatizo la kukosa nguvu za miguu na kusinzia muda wote nimeeenda hospital wamesema ni low BP. Ninasinzia tu tangu asubuhi na nikitembea napepesuka Anayejua tiba na nini, tatzo anijuze.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari za majukumu wakuu wenye ujuzi wa afya na wenye matatizo ya afya pia. Kama kilivyo kichwa cha habari nasumbuliwa na macho kwa miaka mingi sasa na tatizo kubwa ni kuwa na macho mekundu ilo...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Hivi mwanaume kupinga bao mbili napo ni upungufu wa nguvu za kiume?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Madaktari mwaka 2016 nilifanyiwa upasuaji Wa uvimbe chini ya kitovu wakati wa upasuaji nilichomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo mwaka 2017 nikaanza kujisikia kama kuna kitu kinanitembea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa mtu mwenye tatizo kama hili achukue manemane na aisage na kuwa unga laini kisha awe ana nyunyizia kichwani sehemu iliyoathirika inshaallah utapona na tatizo kuondoka.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia...
4 Reactions
472 Replies
125K Views
Amsterdam PrEP failure patient had unusual course of HIV infection Researchers speculate that continued PrEP might stop local infections becoming systemic Gus Cairns Published: 02 October 2017 At...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, naomba mwenye kuelewa huu ugonjwa atuelezee
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Usinywe maji ya moto baada ya kula chakula. 2. Usinywe maji ya baridi. 3. Usile vitunguu maji na kitunguu thaum kwa pamoja. 4. Usile kitu kikali halafu hapo hapo ukanywa maziwa ni hatari. 5...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, Ni muda mrefu nilikuwa kimya lakini yote ni katika harakati za utafutaji ukizingatia utawala huu hakuna tena zile dili za upigaji. Niende kwenye mada, Nina mdada ambaye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili etii vile vifaa vya kupima ujauzito, jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Assalamu alaikum, Leo nipeonelea kutoa mada hii maana tatizo hili linawakumba wanawake mbali mbali kwasababu mbali mbali ikiwemo Hormone imbalanced Utumiaji wa dawa za upangaji uzazi. Matatizo ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wakubwa.? Jino lanisumbua Sana nakosa raha kabisa! Please tupeane msaada na maelezo pia mana nimetoa juzi na Leo mawili yanasumbua tena nini tiba ya hili?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuanza tiba kabla hujaanza kupata mashambulizi ya magonjwa nyemelezi au kusubiri, nitaapriciate clinical response.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
13 Replies
41K Views
Naomba kuulza dawa inayoweza saidia kutibu skin asthma au eczema au allegy ya ngoz ambayo imekuwa chronic..? Maeneo alyopo kumpata doctor wa ngozi ni ngumu naamni umu tunaweza pata msaada!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau,nilipokuwa mwanza tarehe 28,Jully ulikuwa siku ya homa ya ini duniani,nikaona kwenye fb wamepost ila sikujua kazi yao nini hasa hadi sasa mwenye kujua anijuze jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Assalamu alaikum. Leo napenda kutoa faida ya mtu anae matatizo ya MAUMIVU YA VIUNGO. Kabla sijatoa tiba Mara nyingi tatizo hili linasababishwa na baridi na wale wanapendelea sana kula Nyama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pumu ya Ngozi ni nini ? Pumu ya Ngozi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha kuvimba kwa ngozi (inflammation). Hii huambatana na ngozi kuwasha, kuwa nyekundu, kavu, vipele na mabaka. Ugonjwa huu ni...
11 Reactions
16 Replies
42K Views
Samahani wakubwa naulizia kipimo cha Hormonal Imbalance hapa Tanzania kipo kama kipo kinapatikana wapi naomba msaada coz kuna rafiki yangu anatatizo
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…