Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kwa mujibu wa tafiti za kiafya zinaonyesha, ipo faida kubwa sana kwa mtu yeyote anayetumia zabibu katika upande wa afya yake. Inaonyesha moja kwa moja, zabibu kutokana na wingi wa madini...
4 Reactions
8 Replies
26K Views
Je denda ni salama linapokuja suala la kuambukizana maradhi hasa UKIMWI... Tumepima na tunatumia kondom lakini tunaishi mikoa tofauti na huonana baada ya miezi miwili... Wasiwasi wangu ni denda...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Nawaswalimu wote kwa jina la JF. Mimi napenda kufanya mazoezi binafsi pindi ninapopata muda kutokana na kukimbiza na majukumu ya dunia ya sasa. Kwa uelewa wangu mdogu mdogo, nimekuwa nikivaa...
1 Reactions
7 Replies
987 Views
Kwa wale mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo kuna tiba inaitwa C24/7 pamoja na Choleduz pia hizi tiba zinatibu matatizo mengi ya kiafya kama vile shinikizo la damu , kutibu na kudhibiti uwezekano...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Nina kama mwezi hizi nilikua nasikia muwasho na maumivu nikikojoa, nikaenda hospitali nikapipa nikaambiwa nina UTI nyingi, Nikapewa dawa inaitwa NITROFULANTION nikamaliza dozi ila bado nikaendelea...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami...
1 Reactions
101 Replies
71K Views
Habari wataaluma! Ni nini Faida pamoja na hasara za kunywa maji ya moto kiafya??
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Wasalaam JF, Nina mtoto wa miezi saba (7) ambaye tangu akiwa na miezi minne amekuwa na tabia ya kuwa na joto kali kichwani wakati sehemu zingine za mwili zipo na joto la kawaida. Hii imekuwa...
0 Reactions
9 Replies
22K Views
Wakuu nawasalimuni sana, naomba msaada kwa hili ndugu. Nimeshazunguka hii dar mpaka nimechoka kila duka halina hii dawa. Ni ya kumsaidia mama mjamzito kujifungua kwa maelekezo ya daktari...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
UJUMBE KUTOKA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA MAFUNZO YA HOSPITALI CHA LAGOS (LUTH) Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Thread Ended
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa. Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha sasa yapata...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
*A chat with Dr. Devi Shetty, Narayana Hrudayalaya (Famous Heart Specialist) Bangalore, was arranged by WIPRO for its employees. The transcript of the chat is given below. Useful for everyone.*...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Wasalam, Madaktari naomba msaada, nimekuwa nakunywa maji na kukojoa kila wakati. Kiu inakuwa Kali kiasi nahisi kuchanganyikiwa midomo inakuwa kama imekauka hivi na dawa pekee ni maji, nakunywa...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Habarini za mchana wana JF, wajuzi katika jukwaa la JF Doctor. Nimekuwa muathirika na huu mfumo wa hewa ya kutengenezwa.... Nilikuwa na weusi ambao kwa namna moja nilijivunia pamoja na kuwavutia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye thread hii nawalenga wanajf wa mkoani kilimanjaro waliojiunga na Bima ya afya ya Jamii Afya inayosimamiwa na Vodacom na Jubilee Insurance. Kwa mkoani kilimanjaro zimeteuliwa hospitali za...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Wajumbe naumwa sana na kiuno mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25 nitumie dawa gani
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Mwenye mawazoo kuhusu medical laboratory science
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Niende kwenye mada naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…