Salamu wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napenda nifahamu mwanamke anapolala na kujamiiana na mwanaume zile shahawa, mbegu na majimaji vinapoingia kwenye uke wake huwa zinakaa...
JE, UNAFAHAMU FAIDA ZA KARANGA KWENYE UBONGO WA BINADAMU.
NDIO UBONGO
HII NI SIRI ILIYOFICHIKA KWA MUDA SASA
FAIDA ZA KARANGA KWENYE MWILI WA BINADAMU NI PANA SANA
Karanga zina faida kadhaa...
Shirika la Afya Duniani WHO Wametoa taarifa walisema ugonjwa wa homa ya Ini ni Hatari sana Kwa Mwandadamu kuliko Virusi vya Ukimwi HIV na Ugonjwa wa Kifua Kikuu..
Tuchukue tahadhari ikiwemo...
Jamani mwenzenu ni mwathirika na mapenzi kinyume na maumbile na sasa natamani kuiacha lakini nashindwa. Nakumbuka mara ya kwanza nilikutana na dada mmoja nilikutana na dada huyu bandari ya Mwanza...
Habari wakuu
(English version below)
Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba...
Salamu Madakitari wa JF.
Ninaomba kujuzwa: Pamoja na kufanya Mazoezi, ni chakula gani na Tiba asili ipi ninaweza kutumia ili kupona na kuepuka BP bila kulazimika kutumia madawa makali yenye...
Wakubwa, habari za kazi. Nimeona nilete kwenu tuweze kupena ushauri na elimu pia.
Bana, juzi kati kama wiki mbili nyuma, kwenye pita pita zangu nikaonana na mwanamke mkubwa kiumri, vijana tunaita...
Habari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau.
Je...
Habari zenu wakuu!
Samahani naomba msaada wa jina la dawa inayopatikana phamarcy au kwenye maduka ya dawa inayoweza kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo ili nikainunue..pia kwa wale wanaozijua...
Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea.
Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
Dawa ya kuzuia kuzeeka ambayo inaweza kusaidia Watu kuishi maisha marefu na yenye afya inakaribia kuja hivi karibuni baada ya Wanasayansi kuongeza muda wa kuishi kwa Mamalia (panya waliofanyiwa...
Tatizo la miguu kufa ganzi na kuuma linaweza kusababishwa na hali ya kukaa kwa muda mrefu kupelekea kupunguza mtiririko wa damu au kuweka shinikizo kubwa kwenye mishipa.
Kutetemeka na kufa ganzi...
Rosela ni ni maua yanaoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya...
Wakuu habari za Muda huu?
Naomba kujua ni yapi madhara au faida za kuanza kutumia dose ya ARVs kwaajili ya kuimarisha kinga ya mwili kwa Mtu asiye na maambukizi ya HIV AIDs?
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira..
Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto...
Basi ndugu zangu nisiwachoshe na tusichoshane.iko hivi baada ya kataa ndoa kijipatia point tatu kwangu maana sijui nielezeje ila ndoa yangu ishajifia, nikafanya harakati za kutafuta mahusiano...
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni UKIMWI...
●Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara
●Vipele vidogo vidogo ukeni
●Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya
●Vidonda au kuwa na michubuko ukeni
●Kutokwa na...