Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuamka umechoka sana, mapigo ya moyo kwenda kasi tofauti na kawaida yani siku nzima baada ya kufanya mapenzi usiku Na hiyo hali huendelea siku moja hadi mbili mbele .... Naombeni msaada hapo ...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada wadau wa jamii forum nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Kufanya Mapenzi Kwa Wiki Mara 3 Kunapunguza Kupata Shambulio La Moyo (Heart Attack) Kwa Asilimia 50% Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni...
14 Reactions
172 Replies
25K Views
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
*TANGAZO TANGAZO *Kwa *wale wakazi wa dar es salaam na mikoa jirani kampuni inayojihusisha na maswala ya afya inayozaminiwa na watalamu kutoka nje ya nchi inatoa msaada kwa kufanya vipimo vya*...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Pole na mihangaiko na pilika pilika wakuu, naomba niende kwenye maada moja kwa moja; Ni hivi, Nina tatizo la kiafya ambalo limekuwa linanisumbua karibu miezi mitano sasa, iko hivi; ghafla nikawa...
1 Reactions
5 Replies
954 Views
Wakuu. Kaka yangu ni kichaa fulani, alikula msuba(bangi) nyingi sana zamani,mm nikiwa mdogo ,bila kazi ya kipato. Kaka yangu ni nguzo ya Taifa na ni msaada mkubwa sana. Nifanyeje kumtibu?Kama...
3 Reactions
46 Replies
9K Views
Hivi unaweza kujua kwa siku moja kama mimba imetunga kwa kumpima
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndg zangu wana JF, Kama habari hapo juu kinavyojieleza hapo napenda kujua siku ambazo kuna uwezekano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba. Mfano:Ukifanya mapenzi na mwanamke siku mbili au...
0 Reactions
24 Replies
16K Views
Mm nina kilo 61.5 na urefu wa 155.448 nimezidi kidogo mwili lakin sio mnene kupitiliza ni kwann? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa na mjadala na mtaalam wa mambo ya saikolojia nikamuuliza kwanini dunia ya sasa wanawake wengi sana wanapenda kutembea "NUDE"? ukiangalia musics, tamthilia, mitaani, singeli, baikoko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini. Hali hiyo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Wakuu heshima kwenu, Hivi mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa kutumia asali? Naomba kujuzwa tafadhali.
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari jamani naomba kuuliza mimi nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wakuu Naomb kuuziliza yule Dr Appoh kishimbo alikuwa anaweka Screenshoot za watu amewatibu ivi ni mkweli au? Nawasilisha....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, Tatizo langu ni kwamba uono wa macho yangu unazidi kupungua siku hadi siku na wakati mwingine kukiwa na jua ndo siwezi kabisa kutambua kwa ufasaha kitu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa ufupi Imedaiwa kwamba wagonjwa wanaopoteza maisha ni wale waliofikiwa hatua za mwisho By Pamela Chilongola,Mwananchi pchilongola@mwananchi.co.t Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
2 Reactions
1 Replies
866 Views
Kugundua dalili za awali ni njia bora zaidi ya kutibu huu ugonjwa. Kuna baadhi ya dalili ambazo zinaonekana moja kwa moja, ingawa idadi kubwa ya wanaume na wanawake wanazipuuzia. Hizi ni baadhi ya...
10 Reactions
23 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…